NENO RADIO
05/09/2022
Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, k**a sina , si kitu mimi.
[4] huvumilia, hufadhili; hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;
[5]haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; mabaya;
[6]haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;
[7] yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.
[8]Upendo haupungui neno wakati wo wote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika.
[9]Kwa maana tunafahamu kwa sehemu; na tunafanya unabii kwa sehemu;
[10]lakini ijapo ile iliyo kamili, iliyo kwa sehemu itabatilika.
[13]Basi, sasa inadumu imani, tumaini, upendo, haya ; na katika hayo lililo ni . ____ _ 1 Wakorintho 13:2,4-10,13
And though I have the gift of , and understand all mysteries, and all knowledge; and though I have all faith, so that I could remove mountains, and have not , I am nothing.
29/06/2022
Meditation on GOD's word.
16/05/2022
ASILIMIA KUBWA YA INJILI YA SASA SIO INJILI YA KRISTO.
"K**a tulivyotangulia kusema, na sasa, nasema tena, mtu awaye yote akiwahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo mliyoipokea, na alaaniwe. " -Wagalatia 1:9
Toka agano la kale hata agano jipya injili iliyokuwa ikihubiriwa ilisisitiza "TOBA"
Mathayo 3:2-"Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia. "
KRISTO YESU NAYE ALIHUBIRI AKISISITIZA HILO HILO-Mathayo 4:17-"Tokea wakati huo Yesu alianza kuhubiri, na kusema, Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia."
Injili zote zilizohubiriwa agano la kale hata jipya zililenga watu watubu ,watu wamgeukie Mungu na kuacha kutenda dhambi.
Injili zote zilikuwa zinalengo za kuutazamia WOKOVU MKUU wa KRISTOYESU na sio mali wala miujiza.
Miujiza, uponyaji na ishara HAZIKUWA LENGO KUU bali zilifanyika ili kuleta watu kwa KRISTO kwa kulithibitisha neno lake KRISTO YESU.
Hivyo watu walikuwa wakimtafuta YESU na sio vitu vya YESU.
Sasa imekuwa ni tofauti kwa kuwa watu wanafundishwa kutafuta vitu vya YESU yaani miujiza badala ya kumtafuta YESU.
Sasa hivi injili ya kweli ya kusisitizana kumtafuta MUNGU kukemeana kuacha dhambi haipo bali imebaki injili ya kupokea miujiza ambayo ni potofu kwa kuwa inawapeleka wengi kuzimu.
Watu hawa hangaiki kuutafuta utakatifu na haki yake bali wanahangaika kutafuta miujiza.
Watu wanaotafuta miujiza hawawezi kukua kiroho na kujiombea wenyewe ipasavyo hawawezi kuwa na kiu ya kumtafuta MUNGU hata kutafuta muda binafsi kusoma Neno la Mungu na kulitafakari wao wenyewe bali wao hutegemea MANABII NA VIONGOZI WAO huamini zaidi katika vitu vya upako k**a chumvi,mafuta ,maji na kadhalika.
Watu wanaotafuta miujiza huamini neno la mtumishi wao hata k**a linapingana na maagizo ya MUNGU.
Kuna hasara kubwa ya kuwa mtafuta miujiza kwa kuwa maisha yako ya kiroho yatadumaa na utabaki ukijikuta unamtegemea mtumishi badala ya YESU.
Tuache kutafuta miujiza na tuanze kumtafuta YESU kwa kutubu na kutii maagizo yake yote.Naye YESUKRISTO kwa wakati wake atatupa hiyo miujiza.
MCHUNGAJI, NABII, MTUME, MWALIMU ,MWINJILISTI na WASHIRIKA WOTE tutubu leo na kuanza kufundisha watu kutubu,kuacha uovu na kuutafuta utakatifu na haki yake mwokozi.
Tafadhali shirikisha na wengine
.
12/05/2022
Tujifunze na kurekebisha
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
MZOMBE-LUMANGO
Morogoro