Dondoo ZA AFYA
28/02/2024
"π₯«I *MWANAUME USIYOYAJUA KUHUSU "TEZI DUME" NA FAIDA ZAKE".*
ππ₯ Hii ni Tezi ambayo Inaundwa na sehemu mbili ambazo zimeunganishwa na kufunikwa kwa nje kwa utando wa tishu.
π₯Tezi hii ipo mbele kidogo ya puru ( *re**um* ) na chini kidogo ya kibofu cha mkojo.
π*Tezi dume* inauzunguka mrija unaounganisha kibofu cha mkojo na uume ( *urethra* ).
π₯«* KAZI ZA TEZI DUME* π₯«
1β’ *Tezi dume* hutoa majimaji ambayo huchanganyika na mbegu za kiume na kutengeneza shahawa.
π Asilimia 60 ya shahawa huwa ndio hayo majimaji yaliyo tengenezwa na *tezi dume* na asilimia 40 ndio mbegu za kiume zilizotengenezwa kwenye kiwanda cha mbegu ( *korodani* ).
2β’ Majimaji yanayotoka kwenye *tezi Dume* ndiyo huanza kutangulia mbele kusafisha njia ya mkojo ili kuondoa asidi kwenye njia hiyo na kubakia hali ya *alkaline* ili mbegu za kiume zisife.
πHivyo inaondoa asidi na pia inazilinda zisife kuanzia kwenye njia ya mkojo ya mwanaume mpaka *ukeni kwa mwanamke* maana nako Pia kuna asidi sana.
3. Kazi nyingine ya *tezi dume* ni *kuchuja sumu* ili zisichanganyike na mbegu za kiume hivyo hata mbegu inakuwa haina ugonjwa na salama.
4. *Tezi dume* ndio yenye kufunga njia ya mkojo na kuruhusu mbegu za kiume zitoke wakati umefika kileleni na kuziba njia ya mbegu za kiume na kufungua njia ya mkojo unapokuwa umemaliza tendo.
5. Wanaume tukimaliza tendo huwa shahawa zinaruka sana hiyo ni kazi ya *tezi dume*.
β’ K**a shahawa zako zinamwagika tu lakini haziruki zenyewe k**a mkojo nikiwa na maana kwa speed ujue *tezi dume* lako haliko sawa.
πPia Inakuwa ngumu mbegu zako kufikia yai la mwanamke na kumpa ujauzito Kwa Sababu Zitakosa Uwezo Wa Kusafiri Kwa Wepesi Endapo *Tezi dume haina Uwezo Wa Kutosha .
6. *Tezi dume* inailinda njia ya mkojo isishambuliwe na vijidudu vya U.T.I.
7. *Tezi dume* ni sehemu ya kilele cha raha kwenye tendo la ndoa kwa mwanaume.
8. *Tezi dume* Kupitia majimaji yake ndio inayosaidia Kusafirisha *mbegu za kiume* kutoka kwa mwanaume mpaka kwa mwanamke na kukutana na yai la mwanamke.
9. Majimaji yanayotoka kwenye *tezi dume* ambayo ndani Yake Kuna Protein ndiyo chakula cha mbegu za kiume , Endapo Maji haya Yakiosekana Mwanaume ana Uwezekano Mkubwa Wa Kupeleka Kwenye Kizazi Cha Mwanamke Mbegu mfu na Zisizo na Uwezo Wa Kutungisha mimba.
π Kwa hiyo mbegu za kiume zinapata chakula kutoka kwenye *tezi dume* .
π₯ *Kuvimba Tezi Dume (BPH)".*
π₯ Kwa kadri mwanaume anavyozeeka, ni jambo la kawaida pia kwa *tezi dume* kuongezeka ukubwa Kupita Kiwango Cha Kawaida au kuvimba.
π₯ Sababu Ya *Kuvimba kwa *tezi dume*.
π₯ Chanzo halisi cha kuvimba kwa tezi au vihatarishi vyake ( *risk factors* ) havijulikani kwa uhakika.
β’ Kwa muda mrefu imekuwa ikichukuliwa kuwa ugonjwa huu hutokea kwa wanaume watu wazima na wazee tu lakini siku hizi hata vijana..
β’ Ingawa Baadhi Ya tafiti Zinaonyesha Kuhusika Kwa Baadhi Ya Sababu K**a :- Hormones , Ongezeko la Umri Maambukizi Ya Magonjwa Ya Mfumo wa Mkojo Kuhusishwa na Uwezejano Mkubwa Wa Kusabiaha tatizo hili la Kuvimba au Kukua Kusiko Kwa Kawaida Kwa *tezi dume*.
π₯« *Dalili Za Kuvimba Kwa*Tezi Dume* π₯«
- Kukojoa mkojo unaokatika katika.
- Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu.
- Kuchukua muda kabla ya mkojo kuanza kutoka.
- Hali ya kujihisi kubanwa na mkojo kila mara.
- Kushindwa kuthibiti mkojo kiasi cha mkojo kutirika wenyewe.
- Hali ya kuhisi mkojo haujaisha kwenye kibofu.
- Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku.
- Kushindwa kukojoa kabisa ( *Urine retention* ) .
~
π₯ *Madhara Ya Kuvimba Kwa Tezi dume* :π₯
π Endapo mtu atapatwa na tatizo la Kuvimba kwa *tezi dume* inaweza Pia Kusababisha Vijiwe kwenye Kibofu cha mkojo.
- Maambukizi Yasiyokwisha ( *Mara Kwa Mara* ) Katika njia ya mkojo ( *U.T.I* ).
- Madhara katika figo au kibofu.
- Shinikizo la damu ( *Pressure* ).
-Kufanya tendo la ndoa bila kutoa Shahawa Kwenye Uume ( *retrograde ej*******on* ).
- Kupungua kwa *nguvu za kiume* na kushindwa *tendo la ndoa*.
- Kushindwa Kusamisha Uume ( *Uhanithi* ) au Kusimama Kwa taabu Sana.
*Nini Kifanyike*?
π₯ Ondoa Hofu Kabisa ( *Relax* ) ~ Tunakukaribisha *Uje Kulinda Tezi Dume Yako na Kutibu Kwa Njia Za Kisasa Kabisa Bila Upasuaji , Njoo Utumie Bidhaa Zilizo tengenezwa U.S.A Kwa Utaalamu Wa Hali Ya Juu Sana Kwa Kutumia Mimea Tiba Kutoka China , India na Korea na Matokeo ni ya uhakika*
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the practice
Website
Address
Morogoro