MJrealEstate Agent
20/09/2024
Shamba linauzwa Mikese - Morogoro.
๐Lubungo- Mikese
Liko umbali wa Mita 800 kutoka Barabara kuu ya Dar es Salaam (MORO -DAR ROAD).
- Ukubwa ni Ekari 14.
-Ndani ya Shamba kuna Nyumba mbili kubwa
- Bei ni Tsh. 100,000,000/=
Mawasiliano: 0753 951 492 || 0717 602 666
18/09/2024
Kiwanja kinauzwa kiko Lubungo- Mikese.
๐Kiwanja kinatazamana na Barabara kuu ya Dar es salaam
Bei ni Tsh. 20,000,000/=
Mawasiliano: 0753 951 492 | 0717 602 666.
04/06/2024
Apartment inapangishwa, Iko Forest jirani kabisa na Sunset Hotel
-๐ Vyumba vitatu vyote self
๐ Maji
โก๏ธ Umeme
๐ Geti
- Fensi
๐
ฟ๏ธ Parking
๐ฝ Public toilet
Kodi kwa mwezi ni Tsh. 700,000/=
Mawasiliano: 0753 951 492 | 0717 602 666 | 0629 261 790.
27/03/2024
Tumekabidhi hatimiliki kwa mteja wetu baada ya kukamilisha malipo ya viwanja vyake.
Kwa uaminifu mkubwa na uadilifu tunakuuzia kiwanja kwa gharama nafuu sana na kisha tunasimamia zoezi zima la hatimiliki na pindi unapokamilisha malipo yako tunakukabidhi hatimiliki ya kiwannja chako.
Nunua kiwanja kwa bei za ofa, lipa kidogo kidogo kwa awamu upate hatimiliki ya kiwanja chako.
Karibuni sana wateja wetu tupo kwa ajili yenu kuhakikisha mnapata huduma bora za ardhi ndani na nje ya mkoa wa Morogoro.
Ofisi zetu ziko ofisi namba 203 ghorofa ya pili jengo la NHC Ilipo Equity Bank Morogoro
Mawasiliano: 0753 951 492 | 0717 602 666 | 0745 890 905
25/02/2024
KIWANJA KINAUZWA.
kiwanja kiko Block A mvomero na kimepakana na ofisi za halmashauri ya wilaya ya mvomero na pia kiko jirani kabisa na hospital ya wilaya ya Mvomero.
Kiwanja kinaukubwa wa mita za mraba( sqm): 924
- Kiko umbali wa mita 50 kutoka ofisi za halmashauri ya morogoro
- Kiwanja kimepimwa na kina hatimiliki tayari.
- Umeme upo eneo la mradi
- Barabara ya kufika kwenye mradi ni Barabara ya lami na inapitika vizuri.
-Gharama ya kiwanja kwa mita ya mraba (sqm) ni Tsh. 3,000/=
Mawasiliano: 0753 951 492 | 0717 602 666 | 0745 890 905
25/10/2023
*MIRADI YA VIWANJA MOROGORO*
1- KIEGEA B
-7Km toka DSM ROAD
-3km toka Star City
-11km kutoka Dodoma road (Mkundi shell)
*Bei*
-Tsh 3,500/= SQM
-kwa kiwanja cha kawaida cha mita 20:30. Ni sawa na
Tsh 2,100,000/= (2.1M)
*TARATIBU ZA MALIPO*๐ธ
-Malipo ya awali ni 20%
-Miezi 8 inayofuata, 10% kila mwezi
2- KIPERA
-4.5Km toka DSM ROAD
-2km toka Star City
*Bei*
-Tsh 3,500/= SQM
-kwa kiwanja cha kawaida cha mita 20:30. Ni sawa na
Tsh 2,100,000/= (2.1M)
*TARATIBU ZA MALIPO*๐ธ
-Malipo ya awali ni 20%
-Miezi 8!inayofuata, 10% kila mwezi.
3- WAMI SOKOINE
-5Km toka DODOMA ROAD
-25km kutoka Morogoro Mjini
*Bei*
-Tsh 3,000/= SQM
-kwa kiwanja cha kawaida cha mita 20:30. Ni sawa na
Tsh 1,800,000/= (1.8M)
*TARATIBU ZA MALIPO*๐ธ
-Malipo ya awali ni 20%
-Miezi 8 inayofuata, 10% kila mwezi
4. SANGASANGA
-6Km toka IRINGA ROAD (Njia panda ya Mzumbe)
*Bei*
-Tsh 3,000/= SQM
-kwa kiwanja cha kawaida cha mita 20:30. Ni sawa na
Tsh 1,800,000/= (1.8M)
*TARATIBU ZA MALIPO*๐ธ
-Malipo ya awali ni 20%
-Miezi 8 inayofuata, 10% kila mwezi
*Unalipia kidogokidogo ndani ya miezi 8 unakuwa umekamilisha malipo yako na utakua upo kwako.
Mawasiliano:
0753951492 | 0717 602 666 | 0745 890 905 |0744 758 615
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
NHC Building, Second Floor, Opposite To Daladala Stand
Morogoro
Opening Hours
| Monday | 07:30 - 18:00 |
| Tuesday | 07:30 - 18:00 |
| Wednesday | 07:30 - 18:00 |
| Thursday | 07:30 - 18:00 |
| Friday | 07:30 - 17:00 |
| Sunday | 07:30 - 18:00 |