Wigo pu
23/11/2020
Tabia yako inatokana na unacho kiwaza na unacho kihisi
12/11/2020
Fahamu kuusu akili ya mwanao wa kiume 🙇🙇
Mtoto wa kiume uwezo wake wakufikilia yani akili 👀 kwa 100% analisi kutoka kwa mama yake
Hii ni kwasababuu zifuatazo
💥Mtoto wa kiume ana XY
💥kwa 100% X inatoka kwa mama na Y kwa baba kuunda XY
💥Sasa chromosome X pekee ndio yenye uwezo wa kubebaa intelligent gene ambazo ndio akili zenyewe
💢Kwaiyo kuchagua mama mwenye akili ndio sababu ya kupata mtoto wa kiume mwenye akili💌
💤Kwa upande wa mtoto wa k**e ni 50% kwa 50% kulisi akili kutoka kwa baba au mama kwakuwa yeye anachukua X kutoka kote
16/10/2020
Unaweza kujua fikra za mtu kwa kusikiliza maneno yake @ na pia faham moyo wake kwa matendo yake@
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Morogoro