Farajabeauty_
11/07/2026
Maji ya moto yanaweza kuondoa mafuta ya asili (natural oils/sebum) kwenye ngozi kwa sababu kadhaa:
1️⃣Huyayeyusha mafuta ya asili kwa urahisi zaidi ambayo hulinda ngozi, hivyo ukioga unayaosha kwa urahisi
2️⃣Huvuruga skin barrier; Maji ya moto yanaweza kuharibu tabaka la nje la ngozi (skin barrier), ambalo lina mafuta na lipids muhimu zinazosaidia kuhifadhi unyevu
3️⃣Huongeza upotevu wa maji kwenye ngozi; Baada ya skin barrier kudhoofika, ngozi hupoteza unyevu kwa haraka zaidi, na kuifanya ihisi kavu na yenye kukaza
4️⃣Huifanya ngozi kuwa nyeti zaidi; Kuondolewa kwa mafuta ya asili kunaweza kusababisha wekundu, muwasho, na kuwasha, hasa kwa watu wenye ngozi kavu au nyeti
⁉️❓Je, ukavu wa ngozi au skin sensitivity unadhani unaweza kuwa unasababishwa na kuoga kwa maji ya moto?
06/07/2026
🩷Kadude kanako ondoa mba wa ngozi na utangotango kwa haraka sana
🩷Kanasaidia pia kukausha chunusi na kuondoa madoa
✅kanatumika kwa jinsia yeyote, kwa aina zote za Ngozi na mahali popote (usoni, shingoni au mwilini)
✅Hakichubui
💰25,000 tu
📍Tunapatikana MOROGORO mjini (stend ya MZUMBE/MLALI, karibu na SOKO LA KINGALU)
📞 0762253177 (Piga/sms/whatsapp)
📦TUNAFANYA DELIVERY🌎
Karibu tukusaidie kuielewa Ngozi vizuri sana na tukupe ushauri sahihi pamoja na bidhaa sahihi kwa Ngozi yako🥰
Na ukimbuke tupo kwenye Offer ya Sabasaba🔥
05/07/2026
Ngozi nzuri haiji kwa bahati, inaanza na uamuzi sahihi✨
K**a umekuwa ukijaribu bidhaa mbalimbali bila kuona mabadiliko unayotamani, huenda tatizo si bidhaa… bali hujaijua ngozi yako vizuri.
Jipe nafasi ya kupata mwongozo sahihi na huduma inayolingana na mahitaji ya ngozi yako😍 Matokeo mazuri huanza na hatua sahihi.
Usisubiri mpaka ngozi ikupe shida zaidi🥹Anza kuitunza leo. 🤍
📍 Morogoro – Soko la Kingalu Darajani
📲 Book your appointment
📞 0762253177
Your Glow Is Our Mission✨
Facialcare
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Morogoro