Lose_weightheathly

Lose_weightheathly

Share

17/10/2021

HAYA NI MAZOEZI AMBAYO YANAWEZA KUKUSAIDIA KUONDOA KITAMBI:

K**A ipo sehemu moja ya mwili ambayo ni sumbufu sana kuonyesha matokeo baada ya mazoezi ya muda wa k**a wiki kadhaa au miezi ni eneo la tumbo hadi kiunoni.
Mhusika anaweza akashiriki mazoezi makali kwa wiki kadhaa au hata miezi na sehemu zingine za mwili zikawahi kuonyesha matokeo kwa kipindi kifupi ila sio tumbo au eneo la kiunoni.

KWA NINI IWE HIVYO?
Hii ni kwa sababu misuli ya eneo la tumbo hadi kiunoni huhitaji mazoezi maalumu. Huwa na mazoezi magumu zaidi yakilinganishwa na yale ya viungo vingine vya mwili.
Ili misuli ya tumbo na kiunoni kuungika na kuwa dhabiti, utahitaji subira ukitakiwa kutokataa tamaa na kuendelea na ratiba ya mazoezi.

Mazoezi ya kupunguza tumbo ni k**a;

1. Crunch
2. Crunch with Knee Up
3. Oblique V-up
4. Plank Hip Dip n.k
KUMBUKA
1. Hupaswi kupumzika wakati wa mazoezi haya. Unapaswa kufululiza. Kwa matokeo bora zaidi unaweza ukafanya mara mbili (itakayokuwa dakika 10 kwa jumla).

2. Zingatia suala la lishe bora. Hii ina maana kuwa utahitajika kuwa mbali na vyakula vyenye kabohydreti nyingi na sukari. Zingatia zaidi vyakula vya proteni.

πŸŒ“Na ndio maana TUMEKUANDALIA Program ya siku TISA ambayo itakusaidia kuondoa kitambi lakini pia kupunguza uzito, kwani itakurahisishia kuweza kufanya haya mambo matatu ambayo ni chachu ya kupungua;
1.KUSAFISHA MWILI
2.KUJIFUNZA MLO SAHIHI (PROPER DIET)
3.KUFANYA MAZOEZI
Usikubali kufunga mwaka bila kutimiza lengo lako la kupungua, karibu tukuhudumie na kukuongoza. πŸ’₯πŸ’₯πŸ’¦πŸ’¦

ANDIKA NENO KUPUNGUA UZITO KUPITIA WHATSAPP NO. 0743230504 kwa huduma na Ushauri .

https://wa.me/message/3KNQ3BE5BDTFM1

WhatsApp/Call 0743230504

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Dar-es-Salaam Road
Morogoro