Mospat
09/02/2021
ACLA Honey ni kampuni mwanachama wa Mospat.
ACLA HONEY ENTERPRISES LIMITED ni kampuni inayojihusisha na ufugaji nyuki wa kisasa. Kampuni hii ina ofisi zake Mvomero, kijiji cha Peko Misegese kata ya Mlali.
ACLA honey huendesha mashamba ya nyuki ya ufugaji nyuki kisasa katika maeneo ya Mlali, Mvomero; Gongo, Bagamoyo; Sumbawanga na Fukayosi, Bagamoyo.
ACLA Honey imejikita katika uzalishaji, uchakataji na uuzaji wa mazao ya nyuki yafuatayo:
1. Asali ya nyuki wakubwa na wadogo
2. Chavua
3. Sumu ya nyuki
4. Maziwa ya nyuki pamoja na
5. Gundi ya nyuki
Want your business to be the top-listed Recruitment Company in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the business
Telephone
Website
Address
Morogoro
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |