Alephicstz
21/09/2024
Huna kazi. Anza na UDALALI
Usikae nyumbani BURE. Hata k**a una digrii yako AJIRA siku hizi ni chache.
Hivyo anza kufanya BIASHARA hii inalipa sana.
Kazi yaku nikuwa na simu tu. Unasaka taarifa za viwanja, nyumba zinazouzwa na vyumba vya kupanga n.k. kisha unaanza kujitangaza.
Dalali ni mtu mwenye kuona mbali. Vaa vizuri na jipende pia.
Pandika MATANGAZO kwenye kona za barabara.
Unaweza kulipwa kwa kodi ya chumba kimoja ya mwezi...na
Ya 10% kuifanikisha kuuza kitu folani.
Nikutakie mapambano mema
Rafiki yako,
Alex Maganga
Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Morogoro?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Kihonda
Morogoro
255