IFM Tax Association

IFM Tax Association

Share

15/08/2024
09/07/2024

*SABA SABA*

Na Idara ya Habari & Mawasiliano

Rais wa IFMTA Ndg. *IDDY JOHN LUKUBE* siku ya Jana Tarehe 08/07/2024 ameshiriki katika Uelimishaji wa wageni walio tembelea Banda la mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Ndani ya viwanja vya Maonyesho vya Mwl. J.K Nyerere, Manispaa ya Temeke.

Ndg. Iddy ameelezea juu ya uwepo wa Klabu za Kodi, Malengo ya kuanzishwa na namna zinavyochangia kuongeza uelewa Juu ya Masuala ya Kodi katika Taasisi za kielimu na Jamii kwa Ujumla. Pia, ameelezea juu ya dhana ya ulipaji Kodi wa hiari (Tax compliance) pamoja na faida zake. Katika Zoezi Hilo Rais aliambatana na Makamu wake Bi. *ESTHER FESTO THOMAS*

Maonyesho ya 48 ya kimataifa ya Biashara yatahitimishwa Tarehe 13 Julai 2024.

Want your school to be the top-listed School/college in Mikocheni?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Kivukoni
Mikocheni

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00