AFYA YANGU
ni sabun iliyotengenezwa kwa asali mwitu, green tea (majani y chai) liwa na mbeg za zabibu... Hakuna kemikali z imetengenezwa katika maabara na kuthibitishwa nchini marekani na TFDA hufanyakazi nyingi na za maajabu.
1.KUONDOA CHUNUSI SUGU NA MADOA YALIYOSHINDIKANA
Hutengeneza seli zilizokufa kwa kuondoa rangi ya madoa, alama za kuungua ktka ngoz na kupunguza mlundikano wa mafuta unaosababisha chunus zisizokwisha.
2.HUTAMIKA KUSHEVIA NA KUONDOA HARUFU MBAYA YA JASHO KALI (kikwap).
Ukitumia kushevia italinda hali ya kutoka na mapele yatokanayo na wembe, Na huyaponya yote k**a tayari yalishatokea, hufanya mwili kuwa mwepesi zaidi kwa kuondoa jasho kali la kikwap..
3.HUONDOA WEUSI MAKWAPAN NA SEHEMU ZA SIRI.
Huondoa rangi yote isiyohitajika katika ngoz na kuiacha rangi moja tu yenye kupendaza ikibaki na asili yake.
4.HUONDOA MIKUNYANZI NA KUZUIA HAII YA MIDOMO KUPASUKA.
Hupambana na hali ya ngoz kuchoka mapema na kurudisha unyevunyevu katika ngoz kwa kuondoa mikunjo mikunjo.
5.HUTIBU FANGAS ZA MIGUU NA MAGAGA.
Huripea ngoz iliyofubaa kwa kuondoa magogo madogo madogo na fangas za miguu kwa Wale wanaovaa viatu kwa mud mref.
6.HUTIBU MBA MAPUNYENA UTANGOTANGO.
Inafaa sana kwa watoto wenye mapunye, inayatibu na kuimarika ngoz zao kwani ni tofaut na sabun za kawaida, hali kadhalika hutumika kuoshea nywele kwa wenye m, ba kichwani na kuondoa utangotango kwa jinsi zote.
7.TUMIA KWA ULINZI TOSHA WA NGOZI YAKO.
Pia unaweza kuitumia hata k**a hauna tatizo lolot kwan ni tofaut kabisa na sabun nyingne, huondoa hali y miwasho ya ajabu ajabu..
NB:hii ni afya! Na povu lake pia huondoa sumu mwilini na kung'arisha meno machafu haina kemikali 100 %na hutumiwa na Wote. Tumia Anatic soap kwa ulinzi wa ngozi yako.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mikocheni