Biashara pesa

Biashara pesa

Share

10/12/2025

CONGRATULATIONS JANETH & JACLINE ZACHARIA BRAND NEW DIRECTORS MA BINTI WADOGO WAPAMBANAJI MLIANZA BIASHARA MKIWA CHUO SASA NI GRADUATE AMBAO MMEINGIA MTAANI MKIWA NA BIASHARA KUBWA INAYOWAINGIZIA MILLION 1.5 KILA MWEZI HONGERENI SANA WAPAMBANAJI , WAVUMILIVU NA WASIKIVU SANA HONGERENI SANA HAKIKA MUNGU ANATENDA NA ANAJIBU KWA WAKATI HONGERENI KWA STEP SAPPHIRE NDO SIZE YENU KABISA

04/12/2025

WEWE NI ZAIDI YA KIONGOZIπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
NAKUMBUKA MANENO YAKO
β€œKAENI HAPO MUONE DECEMBER NAENDA KUWA NANI”
YANI MUNGU WANGU NATETEMEKA MPAKA UTUMBO MM
HII NDO STEP KUBWA EAST AFRICA
UUUUWWWWWWIIIHHHHHπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
AFU 2DD NI UPLINE WETU AFU BIBI YANGUπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
YOU ARE THE BEST UPLINEπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
I ADMIRE YOUUU

29/11/2025

Hongereni sana kwa kuanza biashara

Photos from Biashara pesa's post 18/11/2025

Tutakusaidia ,kukufundisha , Tutakupa mbinu sahihi tunazotumia kubadilisha maisha ya watu wengi. Watu wengi wanakata tamaa kabla hata hajapata ujuzi/mafunzo juu ya kujenga hii biashara. Nikutie moyo wewe uliyeona hii page hujaja tu kwa makusudi au kwa bahati mbaya Mungu anampango na wewe chukua hatua na muombe Mungu akupe jicho la tatu kujifunza juu ya hiki utakacho kianzisha.πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ» Upo hapa kwasababu unatakiwa kuwa hapa... Nakuhakikishia utapata mwanga ambao utakusaidia kubadilisha maisha yako na kufikia ndoto zako kirahisi na utaweza kujiongezea kipato ambacho ni endelevu na kuishi ndoto zako..

12/11/2025

MWANAMKE UNAHITAJI CONNECTION.Hii sio yakukosa, Jumapil ya tar 16/11 Usibaki nyumbani,Wanawake wa Shoka watakuwepo kuzungumza na kukupa support wewe mwanamke Unayetamani kubadili maisha yako. inawezekana una ndoto lakini hujui uanzie wapi, 2025 ni mwaka wetu πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Program yetu Inalenga kugusa maisha ya wanawake wa kawaida kabisa, kuisha maisha ya ndoto zao. Haijalishi wewe ni mwajiriwa,
mama wa nyumban,
mwanafunzi wa chuo,
muhitimu wa chuo,
mfanyabiashara au mwajiriwa,
Haijalishi umeshindwa mara ngapi, JUMAPIL HII YA TAR 16\11 USIPANGE KUKOSA, JUKUMU LETU NI KUHAKIKISHA UNAPIGA HATUA KIUCHUMI, EVENT YETU ITAFANYIKA DAR ES SALAAM UKUMBI NI MWENGE COMPLEX MUDA NI SAA SABA MCHANA,TICKETS NI BURE KABISA LAKINI ZIPO CHACHE Watsap NENO TICKET KWENDA 0789400175 Upate Ticket yako bure.

Photos from Biashara pesa's post 12/11/2025

Tukiwa tumebakiwa na Mwezi mmoja kumaliza mwaka umechukua hatua gani kuanza biashara....???Bado una nafasi chukua hatua sasa..✍️ Nitumie ujumbe WhatsApp number 0789400175

12/11/2025

Our brand new directors ❀️‍πŸ”₯❀️‍πŸ”₯ 🍜🍸🍹

Photos from Biashara pesa's post 12/11/2025

KUNA BARAKA KUBWA SANA KUGUSA MAISHA YA WATU,, KUPITIA BIASHARA HII MAISHA YA WATU WENGI SANA YANAENDA KUBADILIKA...❀️‍πŸ”₯❀️‍πŸ”₯πŸ˜‡ 🍸🍜🍸

Photos from Biashara pesa's post 11/11/2025

US IN ZANZIBAR FOR VACATION πŸ–πŸπŸ”₯ πŸ’ŽπŸ’₯

Want your business to be the top-listed Business in Mbezi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Mbezi