Mbeya Family
10/03/2017
Ametufanyia amani, kila kukicha ni furaha kubwa kwetu na kamwe hatuta acha kuliinua na kulisifu jina lake kuu.
11/02/2017
Haikuwa Rahisi Kufika Hapa Tulipo, Mpaka Sasa Tunasema wewe Mungu ni Ebeneza Kwetu.. Tunawashukuru Wote mnaondelea kutu support kwa namna yoyote ile Mungu wetu wa Mbinguni azidi kuwabariki.
11/02/2017
Tukihudumu Pale KKKT Rwanda Block T Kwenye Praise and Worship Service iliyo andaliwa na Memshack Praise Team, Utukufu Tunamrudishia Mungu aliyetuwezesha.
30/06/2016
Tukiwa tuna perform katika dhabihu za sifa concert.
The concert was soul lifting indeed.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the place of worship
Website
Address
Mwanjelwa
Mbeya