HIMSOTanzania
05/11/2025
Due to the recent network outage experienced across Tanzania, the deadline for this submission has been extended to 11:00 a.m. on 11 November 2025. Site visits will now be conducted on 6 and 7 November 2025.
31/07/2025
Hafla ya uzinduzi wa jengo la HIMSO ambayo Mgeni Rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, akiwakilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mhe. Solomon Itunda imefana sana. HIMSO imezindua ofisi ya kisasa ikiwa na vifaa vya kisasa vya mafunzo na mikutano. Uzinduzi huo umefanyika leo Makao Makuu ya HIMSO yaliyopo 01 Jacaranda, Mbeya.
28/07/2025
Karibuni sana kwenye siku hii adhimu kwetu.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the organization
Telephone
Website
Address
Jacaranda Area
Mbeya
255
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 17:00 |
| Tuesday | 08:00 - 17:00 |
| Wednesday | 08:00 - 17:00 |
| Thursday | 08:00 - 17:00 |
| Friday | 08:00 - 17:00 |