USCF UDSM MCHAS
30/03/2021
It was on 28/3/2021 at Moravian church-new forest(church visitation), God bless all
HEKIMA YA LEO
14/04/2017
UMEAMINIWA NAWE JIAMINI
Aliyekupa Hiyo Nafasi Amekuamini.
- Mungu ndiye awezaye kukufungulia mlango na asiwepo wa kuufunga.
- Mungu ndiye akufunguliaye mlango mzuri na wa kufaa sana mbele yako.
- Mungu ndiye akupaye nafasi na fursa, na anafanya hivyo kwa sababu Amekuamini.
- Unapopata nafasi sehemu yoyote, jua kwamba umeaminiwa na Mungu kwamba utaitumia vizuri kwa faida ya ufalme, faida yako na wengine.
- Kazi, biashara, elimu, marafiki n.k. Ni nafasi mbalimbali ambazo Umepewa kwa kuaminiwa tu, na si kwa sababu umestahili.
- K**a umeaminiwa, mawe jiamini, Tumia vizuri nafasi uliyopata Haijalishi ni ndogo au kubwa kiasi gani.
JIAMINI, TUMIA VIZURI HIYO NAFASI!
_For Me, My Future & My World!_
Bro. Emmanuel Mahenge
0714 530 295
[email protected]
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mbeya