Betson exicutive
20/10/2023
CONGRATUATION GODLUCK GODBLESS KONGA
04/12/2022
Karibu Betson Exicutive Tunatoka huduma ya Kutembeza Watalii ndani ya Wilaya ya Kyela na maeneo jirani kwende kuangalia vivutio vilivyopo ndani na nje ya kyela k**a vile Mapoloko ya Maji katika Milima ya Livingstone, Mapango ya Kale katika Mji wa Ikombe, Chemchemi ya Maji ya Moto. Utengenezaji wa Vyungu, Bwawa la Maajabu kisiba. Mianzi yenye Maajabu yake. Tunapatikana Kyela namba ya simu ni 0622696653/0767903378. Tunatoa huduma kwa bei nafuu mno Karibu tukutembeze uone maajabu ya Mungu Ndani ya Kyela na Mbeya kwa Ujumla
11/09/2022
Jumapili Njema
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
MANYARA/SERENGETI/KYELA
Mbeya