Enterpreneurs

Enterpreneurs

Share

06/05/2019

Wapo wengi wanaofikiria kuwa biashara imara ni ile ya kuuza na kununua, lakini leo natamani utambue kuwa biashara ni zaidi ya kuuza na kununua namaana kwamba unaweza ukauza au ukanunua bidhaa au huduma lakini bado usiwe mfanya biashara. Biashara ni faida na hasara...hakikisha unapo uza unatengeneza faida kuliko hasara na hakikisha unapo nunua unanunua kwa bei ya faida na si ya hasara. K**a umenifuatilia vzr utagundua kua wote muuzaji na mnunuzi huhitaji faida hii ndio biashara.

Photos from Enterpreneurs's post 14/05/2018
15/11/2016

life needs opportunity cost...selecting among the alternatives coz not everything suit every one

Want your business to be the top-listed Home Improvement Business in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Mbeya
123456