tzyaleo.blogspot.com
07/11/2016
Aliyewahi kuwa Spika wa bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samweli Sitta afariki dunia akiwa katika matibabu nchini Ujerumani!Apumzike kwa aman,amina!
07/02/2016
Mbwana Samatta ameanza rasmi kuichezea KRC Genk ya Ubelgiji baada ya jana kuingia katika mechi ya ligi na kucheza kwa dakika 17 wakati timu hiyo ilipoivaa Mouscron na kushinda kwa bao 1-0.
Ni wakati wa Watanzania,ni wakati wa Africa!
28/09/2015
Je anafaa kuwa Raisi, sema alichofanya kikaonekana mpaka leo hii!!
10/08/2015
Tujifunze haya!!
24/06/2015
CCM ITASHINDA TU HATA KWA GOLI LA MKONO
CCM imesema kuwa itahakikisha inarudi Ikulu hata “kwa bao la mkono” wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 25. Katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye alisema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana kwenye viwanja vya Nyehunge wilayani Sengerema.
“Rangi inayoenda Ikulu ni hii (anaonyesha shati lake la kijani ambayo hutumiwa na chama hicho). Tuna uhakika na ushindi wa Rais. Kwa namna yoyote ile, CCM itarudi Ikulu hata k**a ni kwa bao la mkono... bao ni bao tu ili mradi refa hajaona,” Source: MCL
Nini maoni yako kutokana na kauli hii ya Nape?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Uyole
Mbeya
255