ROCK FM RADIO

ROCK FM RADIO

Share

07/03/2026

TANZIA
Mwenyekiti wa kanisa la Waadventista wa Sabato Nyanda za juu kusini mwa Tanzania Mch.Toto Ndege Bwire kusaga.Anatangaza kifo cha Mch.Joseph T Msambwa wa Mtaa wa Malangali Wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya, kilichotokea tarehe 06/03/2026 mkoani Mbeya.
Mwenyekiti anaungana na familia,waumini na wote walioguswa na msiba huo.Mazishi yatafanyika siku ya Jumatatu tarehe 09/03/2026 Mkoani Njombe.
"Naye atafuta kila chozi katika macho yao"

08/01/2025

Siku 10 za Maombi, Wakati wa kipekee kusogea karibu na Mungu kuweka mipango yetu ya mwaka huu 2025 miguuni pake na kuruhusu atawale maisha yetu.

Wanenaji katika siku 10 za Maombi ni Mch. PAUL SEMBA na MRS. DEBORA URIO.

Shiriki pamoja nasi kupitia Hope channel Tanzania, AWR Tanzania na Rock FM Mbeya, kila siku saa 11.00 -01.00 Jioni.

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Mbeya