Wana Foundation
13/04/2026
K**a sehemu ya kuadhimisha siku ya Matendo Mema Duniani, Tarehe 25/04 Mimi na Wewe k**a Familia tutaungana pamoja kwenda Kituo cha Watoto cha Raising Orphanage Center tukiwa na Sadaka yetu k**a Token ya Upendo. Halafu baada ya kuwaonyesha Upendo wetu watoto then tutaungana pamoja na kutembelea Nyumba tuliyokubaliana kumjengea ndugu yetu Fredy ambaye ni Mlemavu. Tutaenda kuona imefikia wapi.
Weka Sadaka yako k**a Token ya Upendo.
M-Pesa: 0746156319
Jina: Frank Mwainyekule
Wana Charity
Just Us For Love
Partners: & AGF Songwe
09/03/2026
Honored to participate in the Good Deeds Day Leadership Conference. It was a valuable opportunity to connect, learn and reflect on how we can strengthen the future of our organization, collaborate with the organizations around us and better serve and inspire our community. Together we continue building partnerships that inspire Good Deeds, Growth, Leadership and Lasting impact.
Good Deeds Day 20th Anniversary👏🏾
@
14/01/2025
Tarehe 30/12/2024 Tuliandaa tukio la kuwatembelea Wazee wasiojiweza katika kaya kadhaa kwenya Kata Nne za Jiji la Mbeya tukigawa baadhi ya mahitaji na chakula. Tulipoenda kuwatembelea Wazee hawa tulifika katika nyumba ya Bibi mmoja mjane na mvua ilikuwa inanyesha tukajisitiri humo lakini nyumba ilikuwa inavuja sana. MC Mwakapalila akaona kwanini tusifanye jambo kwa Bibi huyu ili walau maji yasimdondokee ndani, basi tukafanya kwa uwezo wetu ili angalau Bibi asinyeshewe tukafanikiwa kubadilisha bati za nyumba hii na sasa Bibi hanyeshewi tena.
Mungu awabariki wote kwa Upendo wenu kwa Bibi zaidi, Mungu awabariki sana Familia ya MIMI NINA WATU kwa Upendo wao mkubwa. Aisee👏🏾👏🏾
Namuomba Mungu kila mlichofanya kwa yule Bibi kikawe alama na ukumbusho mbele za Mungu.
Upendo una nguvu sana
WANA CHARITY
JUST US FOR LOVE
04/01/2025
WANA CHARITY
Asanteni kwa mlichokifanya kwaajili ya wazee… Mvua iliwanyeshea na jua liliwawakia lakini kata 4 zote mlifika kuwasaka wazee wasiojiweza.
JUST US FOR LOVE
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the organization
Telephone
Website
Address
Mbeya