Mbeya local Chicken Hub

Mbeya local Chicken Hub

Share

Photos from Mbeya local Chicken Hub's post 03/06/2024

Hellow karibu mjipatie kuku wa kienyeji wa aina zotee namaanisha Zonga,jogoo,temba na tetea Bei zetu ni rahis kabisa kuna Elf 12,14,15,16,18,na Elf 20 tu.Huduma ya kuandaliwa ni bure kabisaa pia kwa wanaohitaj kuku wa kufuga wapo.Piga/whatsapp 0746909388

Photos from Mbeya local Chicken Hub's post 02/06/2024

Kumekuchaa mmeamkajee kuku wa kienyeji wapo tena kwa bei zoote tupigie/whatsapp no. 0746909388

Kwa Mahitaj ya kuku wa kienyej tuchek tuna kuku wa bei zote 12000,15000,16000,18000,na 20000.

23/04/2024

Upo ndani ya Mbeya na unatafuta kuku wa kienyeji basi usipate shida tupigie no.0746909388, we tupe order yako sisi tutakuletea mzigo kwa gharama nafuu kabisa....

Bei zetu ni kuanzia....

10,000/=

Mpaka

20,000/=

Karibuni sana.

Photos from Mbeya local Chicken Hub's post 20/04/2024

Call us....... 0746909388

kazi yetu ni kukupa kile unachopenda
HUDUMA yetu ya kuku wa kienyeji ni
tofauti kabisa na uliozoea.

Tunatengeneza bure na kukufikishia
Nyumbani kwa gharama nafuu kabisa.

Hawa ni KUKU WA KIENYEJI KABISA toka shambani kwetu.

TUPE ORDER YAKO SASA

Asante kwa wote tulio wahudumia
Kuku wetu wanapatikana kwa
Bei ya nafuu ni kuanzia:-

10,000/=

mpaka wa 20,000/=

KWETU NI FARAJA NA FURAHA KUKUHUDUMIA.Karibu

Photos from Mbeya local Chicken Hub's post 19/04/2024

Hakikisha this weekend una kula vizuri
Pata kuku wa kienyeji wenye ubora kwa bei nafuu kabisa

Bei zetu ni poa,pata kuku kuanzia:-
10,000/=Tsh mpaka 20,000/=Tsh

Tupigie 0746909388
Na weka order sisi tutakuhudumia na kufanya deliverly kwa gharama nafuu.Karibu sana

Photos from Mbeya local Chicken Hub's post 05/04/2024

Hakikisha una kula vizuri
Pata kuku wa kienyeji kwa bei poa kabisa

Bei zetu ni poa kwanzia:-

12,000/=

Mpaka

22,000/=

Kuku wetu wana ubora uliozingatiwa

📞 Tupigie 0746909388
Na weka order sisi tutakuhudumia na kufanya deliver.

sana

Photos from Mbeya local Chicken Hub's post 31/03/2024

■■■Karibu na jipatie kuku🐓 halisi wa kienyeji

■■■ Tunatoa pia huduma ya kuchinja na kuandaa

■■■ Weka oda yako sasa piga ☎️no.+255 746 909 388

💵 Bei kuanzia 12,000/= hadi 24,000/=

🚚 Bidhaa unaletewa mpaka ulipo ndani ya 📍Mbeya mjini.

Sana.

Photos from Mbeya local Chicken Hub's post 15/03/2024

Tunauza kuku wa kienyeji (FULL PACKAGE).

Bei zetu pamoja na delivery ni :-

10,000/=Tsh

12,000/=Tsh

16,000/=Tsh

20,000/=Tsh

24,000/=Tsh

karibu mteja wetu ujipatie kitoweo safi kwa kwako na familia

sokoni

NB:Delivery ni kwa wakazi wa Mbeya mjini.

Wateja wetu walio mbali tunawa agizia kwa gharama nafuu.

Want your restaurant to be the top-listed Restaurant in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Mbeya

Opening Hours

Monday 08:30 - 21:00
Tuesday 08:30 - 21:00
Wednesday 08:30 - 21:00
Thursday 08:30 - 21:00
Friday 08:30 - 21:00
Saturday 08:00 - 22:00
Sunday 10:30 - 22:30