Rither Mjema

Rither Mjema

Share

12/05/2024

Happy mother's day my mom♥️

12/04/2024
20/03/2024

I got 3 reactions and 1 reply on my recent top post! Thank you all for your continued support. I could not have done it without you. 🙏🤗🎉

JE UNAJUA UFANYE BIASHARA GANI KWA MTAJI KIDOGO?
Yaweza kuwa ww ni muajiriwa unaetaka kutengeneza kipato cha ziada, mwanachuo, mfanya biashara au mama wanyumbani unataka kuwa na kipato chako mwenyewe,

Nitafte nikupe wazo la biashara na usimamizi wa Bure kabsaa ufikie malengo yako

Piga au tuma ujumbe Whatsapp kwa no 0711882596

20/03/2024

UGONJWA WA BAWASIRI(HAEMORRHOID)

Ni kuvimba kwa mishipa ya damu iliyopo ndani ya au katika eneo linalozunguka njia ya haja kubwa.
Husababisha kinyama kutoka nje.

AINA ZA BAWASIRI

🔴BAWASIRI YA NDANI
🔴 BAWASIRI YA NJE

DALILI ZA KUGUNDUA UNAUHOJWA WA BAWASIRI.

1.Miwasho sehemu ya haja kubwa .
2.Maumivu makali na kusababisha kushindwa hata kukaa chini.
3.kutokwa kwa damu au k**asi wakati wa kujisaidia.
4.Uvimbe au kinyama kujitokeza kwenye tundu la haja kubwa.

SABABU ZINAZO SABABISHA BAWASIRI

1.Umri kuongezeka/uzee.
2.Ujauzito.
3.Kuwa na uzito kupita kiasi.
4.Kuharisha.
5.Choo kufunga/kupata kinyesi kigumu(constipation).
6.Saratani kwenye nyonga.
7.Kubeba vitu vizuto mara kwa mara.
8.Kuwa na magonjwa yanayo athiri njia ya haja kubwa.
9.Kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
10.Ukosefu wa nyuzi nyuzi kwenye MLO wa kila siku.

ATHARI ZA BAWASIRI
1.Upungufu wa damu mwilini(anemia).
2.Kinyesi kutoka na kuvuja bila kujitambua na hii husababisha mtu kunuka kinyesi mda wote.
3.Maumivu makali mpaka mtu anashindwa kufanya kazi.
4.Kuathirika kisaikologia.
5.Kukosa hamu ya tendo la ndoa (kwa wanawake)
6.Kupungukiwa nguvu za kiume.

JINSI YA KUJIKINGA NA BAWASIRI

SASA JINSI YA KUJIKINGA NA BAWASIRI NI KUHAKIKISHA UNAPATA CHOO LAINI KWA KUFANYA YAFUATAYO;

1.Kula chakula chenye kiwango kikubwa cha nyuzi nyuzi k**a mboga mboga na matunda.
2.Kunywa maji mengi.
3.Fanya mazoezi.
4.Unapohisi kwenda chooni nenda kwa wakati usichelewe.
5.Usikae Sana chooni unapokaa sana huongeaza mgandamizo katika eneo la chini kwenye mishipa ya damu hivyo kuleta hatari ya kupata BAWASIRI.

Kwa ambae tayar anao ugonjwa huu wa BAWASIRI tunazo dawa za uhakika KABISAA zinamaliza BAWASIRI aina zote kabsaa na kwa uhakika karibu tukuhudumie .

Na kwa wewe ambaye uko salama huna dalili ya ugonjwa huu hebu chukua tahadhari ujikinge na ugonjwa huu.

Kwa ushauri na tiba piga au tuma sms Whatsapp kwa no
0711882596

19/03/2024

PROVITALITY
Is a powerful nutritional supplement that boost the immune system, support the cells, and improve brain power.

It also Supports;
✅ Powerful antioxidant protection.
✅Heart health.
✅Clear vision.
✅ Immune function.
✅ Healthful skin, hair and nails.
✅ Health brain function.
✅Lifelong cellular health.
✅ Flexible health joints.
✅ Abundant energy.

Provitality is a combination of four supplements In a single packet
1.Tre-en-en. 2.Omega 3 Salimon oil plus. 3. Multivitamin. 4.Carotenoid complex.

For ordering call me or text me whatsapp via 0711882596.

13/03/2024

Nitafte 0711882596

13/03/2024

Inawezekana usikate tamaa
Nitafte 0711882596

13/03/2024

Package koboko Yao
Nipigie 0711882596

13/03/2024

Call me 0711882596

13/03/2024

Njoo hii package nikiboko Yao na wewe unaweza kuitwa mama ndani ya mda mchache kabsaa
Piga 0711882596

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Mbeya
53701