Tracert computer technology
tarehe 14/2/2026 ,Duka la LAPTOP AND CCTVPOINT linalomilikiwa na kampuni ya BZTECH CO .LTD limezinduliwa na Mh isack lackson Mwakibombaki Diwani wa kata ya ruanda,Mh mwakibombaki amempongeza muwekezaji na kuendelea kuwahamasisha watu wengine waendelee kuja kuwekeza ndani ya kata ya Ruanda
Mkurugenzi wa Bz tech (CCTVPOINT) amewaomba wananchi wote wajiji la mbeya na mikoa jirani waendelee kuwaamini na ameahidi kuendelea kuwaletea kilicho bora
na mkurugenzi ametaja huduma zao kuwa ni
CCTV CAMERA INSTALLATION AND ACCESSORIES
GATEMOTOR INSTALLATION
ELECTRIC FENCE AND ACCESSORIES
ALARM SYSTEM
INTERCOM
NETWORK
LAPTOP COMPUTER AND ACCESSORIES
ElectricFENCE
Lazor wire FENCE
CCTV CAMERA...
Tupigie
☎️0756 766 000
☎️0654 130 605
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mbeya