Goldgiver Microfinance Ltd
Habari, mikopo kwa wajasiliamali wadogowadogo inaendelea kutolewa kwa wingi kupitia matawi yetu yote na wateja wetu wanaendelea kuinua biashara zao zilizokuwa zinateteleka. Tupigie simu kupitia namba hizi
0694573330 au tembelea website yetu ya www.goldgivermicrofinance.co.tz. kwa maelezo zaidi.
21/10/2018
Habari njema kwa mawakala wa M-MPESA, tunapenda kuwajulisha kuwa kampuni ya Vodacom Tanzania wametuamini kwa mara nyingine na kutupatia jukumu la kuwahudumia mawakala wa M-MPESA(SUPER AGENT), na huduma tunazotoa ni float exchange yaani kuweka na kutoa fedha kwa mawakala wa mpesa, tumeanza na Ileje, Vwawa(Mbozi), Mbeya(Soweto) na Kyela. Na maeneo ya Sumbawanga mjini, Mpemba, Tunduma, Mbalizi, Mlowo, Chunya na Kamsamba tunasubiri taratibu zingine za kisheria zikamilike ili tuanze kazi huko pia, tunashukuru kwa wateja wetu wanaoendelea kutuunga mkono kwa namna moja ama nyingine, mungu awe pamoja nasi daima. Director Goldgiver microfinance Ltd.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
Itumba
Mbeya