Thankyou Rojasi

Thankyou Rojasi

Share

17/02/2026
22/01/2026

Mkutano kapunga jumapili tahe25/1/2025 tanzani

22/07/2025

Evangelist thankyou rojas from mbeya tanzania

Photos from Thankyou Rojasi's post 22/04/2025

Shida atusomi biblia tujuwe ukweli hasa Ninyi mmekuwa rafiki zangu, mkitenda niwaamuruyo
Siwaiti tena watumwa; kwa maana mtumwa hajui atendalo bwana wake; lakini ninyi nimewaita rafiki; kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa Baba yangu nimewaarifu.
Si ninyi mlionichagua mimi, bali ni mimi niliyewachagua ninyi; nami nikawaweka mwende mkazae matunda; na matunda yenu yapate kukaa; ili kwamba lo lote mmwombalo Baba kwa jina langu awapeni.

14/12/2024

Zabuli 105:1___Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake,
wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda.
Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa,
waambieni matendo yake yote ya ajabu.
Lishangilieni jina lake takatifu,
mioyo ya wale wamtafutao Bwana na ifurahi.
Mtafuteni Bwana na nguvu zake,
utafuteni uso wake siku zote.
enyi wazao wa Abrahamu mtumishi wake,
enyi wana wa Yakobo, wateule wake.
agano alilolifanya na Abrahamu,
kiapo alichomwapia Isaki.
Alilithibitisha kwa Yakobo kuwa amri,
kwa Israeli liwe agano la milele:
“Nitakupa wewe nchi ya Kanaani
kuwa sehemu utakayoirithi.”
Hakuruhusu mtu yeyote awaonee;
kwa ajili yao aliwakemea wafalme, akisema:
“Msiwaguse niliowatia mafuta;
msiwadhuru manabii wangu.”
Zaburi 105:1-4, 6, 9-11, 14-15

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Mbeya