Jensen Tv
05/04/2026
Nyanda za juu kusini tunapaswa kumshukuru sana mnyalu kwakua hana tamaa ya kuhama makazi na kwenda Dar, nadhani anajua akiondoka yeye basi nyanda za juu kusini tunabaki kujivunia maparachichi tu.
B2K, ndio msanii pekee anamwonekano wa ki sanii na ki star na anaishi misingi ya ya Sanaa, kuanzaia kuvaa (outfit looks), photo shoot, yaani kwa maana nyepesi na ya kawaida wasanii wengi nyanda za juu kusini hawajui kuvaa kumshinda B2K, haajui ku organise events kumzidi B2K, hata interview B2K anawazidi vingi sana.
Seriousness, B2K ndio msanii mwenye uthubutu zaidi wa kuweka bajeti kubwa kufanya audio na video kwa producers na directors wakubwa kuliko msanii yeyote nyanda za juu kusini.
B2K, kwasasa ni miongoni mwa wasanii bora 20 nchini licha ya kwamba haishi Dar wala hapewi airtime na media kubwa, ndio msanii anaongoza mauzo kwenye majukwaa yote ya mziki, kuanzia single, collaboration na Albums hakuna msanii anamgusa sio tu wa nyanda za juu kusini hata waliopo Dar.
Bila kusahau B2K ni msanii pekee ambaye ameningia kwenye charts kubwa za mziki katika radio kubwa nchini k**a clouds fm, na radio nyingine kubwa.
Nadhani sasa ni wakati wa B2K kupewa crown yake k**a miongoni mwa wasanii bora nchini na sio nyanda za juu kusini pekee.
Pokea maua yako mnyalu
05/04/2026
Wahenga waliwahi kusema kwamba "Mtu Chake" wakiwa na maana kwamba hata k**a utaona kitu hakina thamani kwako basi fahamu kuwa mwenye nacho anaijua thamani yake kwahiyo ukimuona nacho usione k**a anajivuna au kujisikia.
Sasa hii imethibitika baada ya mpenzi na mzazi mwenza wa RAYVANNY kumvaa vikali mtangazaji , na hii ni mara baada ya mtangazaji huyo kupost ujumbe ulio ashiria kuwa aliyepaswa kupewa heshima ni na sio kwani sio yeye aliyeandaa show hiyo.
Fahvanny, amemjia juu kwa kumtumia jumbe mbalimbali DM za kuonesha namna ambavyo amechukizwa na chapisho hilo, na kuliona k**a limejaa chuki na ni dharau kwa Rayvanny.
Wewe mtazamo wako ni upi katika hili?
Video ya show nimepost kwenye post ya nyuma 🔙🔙🔙.
Leo nakusogezea moja kati ya wimbo bora sana katika kiwanda cha burudani ya wimbo ambao haujawahi kuchuja na hauta kuja kuchuja kamwe.
Karim, ni wimbo unaohusu kumtumaini Mungu katika nyakati zote, haijalishi unapitia nini lakini ukimtegemea Mungu ananjia nyingi za kukusaidia au kuku kutanisha na msaada. Usitegemee akili zako bali Muumba.
Tangu wimbo huu ulipoachiwa uliweka alama kubwa kwa msanii alikiba kwani ilikua ni storytelling ya kumhusu kijana ambaye alikua anaishi kwa kudra za mwenyezi Mungu, na hii ilikua ni wakati ambao wimbo k**a ulikua na simulizi nzuri sana.
Tunatoa heshima kwa king kiba kwa wimbo utakaoishi milele, Enjoy.
Moja kati ya show ambazo kijana kutokea Tandale aliiwakilisha nchi ipasavyo ni hii show, wakati wa kukaribishwa kwenye stage, walisikika mashabiki wakimfananisha yeye na Michael Jackson, na akatumbuiza wimbo wa "Kidogo" ambao ameshirikiana na kundi maarufu la mziki Africa P square ambao na wao pia wamekuwa wakifananishwa na MJ.
One of the Top Top, and classic performance ever, from Diamond platinumz, Unakumbuka hii show ilikua kwenye tukio gani na ulikua mwaka gani?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Ilomba
Mbeya