Pam Security Agency

Pam Security Agency

Share

21/04/2026

🚨 UNATAKA KUANZISHA KAMPUNI YA ULINZI TANZANIA?

Watu wengi wanaanza… lakini wengi wanashindwa.
Sababu?

❌ Hawajui pa kuanzia

❌ Hawana mfumo wa kupata wateja

❌ Wanashindana kwa bei badala ya ubora

Sasa nimekuandalia MWONGOZO KAMILI utakao kusaidia:

βœ… Kuanzisha kampuni yako hatua kwa hatua
βœ… Kujitofautisha na kampuni nyingine
βœ… Kupata wateja wako wa kwanza
βœ… Kujenga mfumo wa kazi unaoaminika

πŸ“˜ Jinsi ya Kuanzisha na Kushinda Biashara ya Ulinzi Tanzania
πŸ’° Bei: TZS 30,000 tu

πŸ“² Wasiliana nami sasa kupata nakala yako
πŸ‘‰ WhatsApp: 0627 748 871

Usikae na wazoβ€”anza sasa.

17/04/2026

Mwarobaini WA vibaka mjini

13/04/2026

05/04/2026

Heri ya Pasaka kwa Wakristo wote!

Kwa niaba ya uongozi mzima wa Pam and Company Limited, ninawatakia ninyi na familia zenu Pasaka njema iliyojaa amani, upendo, na matumaini mapya.

Sikukuu hii tukufu iwe chachu ya kuimarisha imani, mshikamano, na ari ya kufanya kazi kwa bidii katika kujenga maisha bora na jamii yenye ustawi.

Tunawatakia afya njema, mafanikio, na baraka tele katika kipindi hiki cha Pasaka na siku zijazo.

Imetolewa na:
Mkurugenzi Mtendaji
Pam and Company Limited

04/04/2026

Tazama Tukio Hili lisilo la kawaida

26/03/2026

🧼 USAFI WA KITAALAMU UNAANZAJE?
Sio kufuta tu… ni mfumo kamili wa hatua kwa hatua kuhakikisha ubora na ufanisi.
Kutoka ukaguzi hadi umaliziaji – sisi tunafanya kila kitu kwa weledi wa hali ya juu.
PamSec Cleaning Services – Ubora na Ufanisi
πŸ“ž Piga/WhatsApp: 0627 748 871
πŸ‘ Follow β€’ ❀️ Like β€’ πŸ” Share

Want your business to be the top-listed Home Improvement Business in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Mbalizi
Mbeya