homeboy_uyole

homeboy_uyole

Share

Photos from homeboy_uyole's post 19/11/2022

Kijanisha Mbeya yetu 😎pale zahanati ya kata ya Itezi campaign ishazinduliwa,,

Photos from homeboy_uyole's post 19/11/2022

Kijanisha Mbeya Kila kata ,,,,!!!! Mbunge wetu Kashafanya Kwa kishindo,,!!!

Iziwa, itende ,Itezi 🀝

14/11/2022

"" Asante Mama Mh Rais Mama historia imeandikwa kata ya Itezi ,Tumezindua rasmi Zahanati ya kata ya ITEZI

serikali ya mama kazini

Utekelezaji wa ilani ya Kwa vitendo,πŸ’š

14/11/2022

Mwenye Jiji lake ,,.ackson ,,!!!

Itezi Moja πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’š

Tumezindua zahanati yetu πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

13/11/2022

Tupo Duniani kwa sababu maalumu, Tuendelee kufurahia uwepo wa Mungu ,Kwa kuwa yote yanafanyika Kwa mapenzi yake,πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Sunday na Tabasamu πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

11/11/2022

"Kuna wakati wangu ,lakin Kuna wakati sahihi ule wa Mungu, tuendelee kupambana ,

Majaliwa anatukumbusha kwamba, tuendelee kujitolea na kusaidia watu pasipo kujali utapata nn,,,!!!!

Majaliwa ukiachana na kuokoa watanzania wenzetu ,Bhado anabaki kuwa shujaa wa namna kijana inabidi uwe katika jamii, Amekuwa nembo ya Kila Mtaa Leo ,!!

Wale Wana ambao tunaamini katika juhudi zetu binafsi, juhudi zetu ndizo zitutangaze ,Tunatoka familia ambazo mwenyezi Mungu ametubariki , Afya na vipaji lakin tunategemea juhudi zetu ndizo zitufikishe mahala ,japo tunaona Giza , Mungu hachelewi kujibu, tuendeleee kupambana ,IPO siku ,na muda wa Mungu ,Tutakuwa juu,,,!!!

Hongera Majaliwa ,umetupa heshima vijana wa mtaani, Mwenyezi Mungu ametupa Nguvu kupitia majaliwa ,ametukumbusha, kwamba tuendelee kupambana ,,bila kuchoka

Majaliwa , amekuwa na atabaki kuwa kitabu Cha Wana wa Mtaa ,,,kule chini

Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi zaidi

03/11/2022

""Bango kubwa muno ,,,!!! Vijana na Fulsa,,!!!! πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
tupo hapo !!!!

Want your business to be the top-listed Advertising & Marketing Company in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Mbeya