LLM DOOR Limited
Usafi wa katika Maeneo ambayo husaulika Upande wa nyuma ya makochi ni sehemu pia ambayo uwa fundisha Mabinti zetu kabla ya kwenda kuanza kazi. Nawe pia unakaribishwa LLM DOOR LIMITED
Mlango wa mafanikio Kwa Vijana. Kwa Mahitaji ya Mabinti unaweza nipigia katika namba ifuatayo. 0765-493-645
Follow
18/08/2023
Kampuni ya LLM DOOR LIMITED. inatambua changamoto wanazo pitia Wateja wetu wengi Kwa kuwa na Mabinti wasio kidhi Vigezo , k**a Uangalizi wa Watoto, kupika pamoja na Usafi wa Ndani
Ivyo Mabinti wetu wote wanapewa mafunzo haya kabla hawaja enda kazini Kwa Uhitaji wa Mabinti wa ndani wasiliana na Mkurugenzi. 0765-493-645
Follow
01/04/2023
Binti huyu ana Miaka 18 anapatikana Mwanza - Nyagunge ili kupata utaratibu jinsi ya kumpata wasiliana na Mkurugenzi wetu. Piga/Whatsapp. 0765-493-645
06/03/2023
Mkataba wetu Kwa Mteja anaye hitaji Mteja anaye hitaji Binti Toka Usome kwa umakini zaidi mtumie pia anaye hitaji Binti na umwambie habari hizi au unaweza kumtaga katika post hii. LLM DOOR LIMITED ni Suluhisho la Mabinti wa kazi za Ndani
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Mbeya
10166MWANZA