Adam Nziku

Adam Nziku

Share

30/09/2024

Siku zote zinalingana lakini hazifanani au siku zote zinafanana ila hazilingani?

25/11/2023

Unaweza kudanganya watu wote wakati wote na watu wengine wakati wote lakini hauwezi hauwezi kuwadanganya watu wote wakati wote

25/11/2023

Jogoo hana Mshenga

25/11/2023

Ndama hazaliwi na Pembe,huwa zinaota baadaye

08/12/2022

Mama alinambia "hats K**a una kiu kiasi gani Kuna baadhi ya watu usiwaombe maji'' maana watamwambia Kila mtu kuwa kuwa walikuoa maji''.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Tukuyu
Mbeya