Cute

Cute

Share

27/09/2025

Aziz Yaya Touré Andabwile 🔥 Confidence inapanda siku hadi siku, taratibu anaanza kuonesha kila silaha aliokua nayo🙌🏼 jamaa ana kimo kinacho msaidia kushinda mipira mingi ya hewani

Sio kwenye kuzuia tuu lakini leo ametumia faida ya kimo chake kushinda mpira wa hewani na kuwapa Yanga goli la pili 🔥

Bila ya kumfananisha na yoyote now binasi yake anawapa Yanga kile alicho nacho 💪🏻

26/09/2025

Kumbe na huku PACOME YUPO😂😂

ila kuinga kwa mtu alie kudhidi sio dhambi😂😂

au namimi nipake brich huenda nikapata team

24/09/2025

,,,🔥🔥| Kuna Wachezaji halafu kuna Pacome huyu Jamaa alizaliwa kucheza mpira.

Muda wote anaombea mpira kwenye maeneo magumu na kuwavunjavunja wapinzani kurahisi sana.

Nguvu,ufundi na uthubutu vinamfanya kuwa tishio mbele ya wapinzani.

Leo kipindi cha pili ameleta uhai mkubwa sana….Top Top Player🖐️

22/09/2025

👉🏽huyu hapa Hemed Suleman Ally "Morocco" kamimu Kocha mkuu wa Timu ya taifa ya Tanzania ametangazwa na klabu ya Simba k**a kocha wa muda wa klabu hiyo.

⚡Morocco atakuwa na jukumu la kusadiana na kocha Suleiman Matola katika mchezo wa marudiano dhidi ya Gaborone United kwa mkapa .

⚡ Kumbuka kwenye mchezo huo Kocha Suleiman Matola hatokuwepo kutokana na kutumika adhabu ya kadi nyekundu aliyoonyeshwa kwenye mchezo wa kwanza ulifanyika Botswana

18/09/2025

Hapa ukiangalia zimbwe jr alikua anamwambia nn mchezaji wa Simba?

Zaidi ya kusema Simba viongozi wake wahuni tuuh!?!.

Want your business to be the top-listed Clothing Store in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Culinary Team

Attire

Website

Address


Mbeya