RTJ Consultancy
21/09/2025
Much Thanks to Homestead Harvests organization for believing in our service.
Register your NGO with us today, wherever you are you will be served. We Register all levels of NGO
1. International NGO
2. National NGO
3. Regional NGO
4. District NGO
+255 752 825 904
[email protected]
(Competence, Confidentiality & Integrity)
#2025
31/08/2025
Pongezi kwa Hope for humanity foundation kwa kufanikiwa kupata usajili wa NGO kupitia RTJ CONSULTANCY.
Unahitaji Mambo yafuatayo ili kusajili NGO
1. Jina la NGO au shirika
2. Wanachama wasiopungua watano
3. Namba ya NIDA ya kila mwanachama
4. Katiba ya Shirika
5. Wasifu (CV) wa kila mwanachama
6. Muhtasari (minutes) wa kikao cha kuridhia kufanya usajili wa NGO uliosainiwa na wanachama wote watano
7. Dira, Dhima na malengo (Vision, Mission & Objectives) ya Shirika
8. Anuani ya shirika
9. Lengo kuu la shirika
10. Barua ya utambulisho wa Shirika kutoka kwa afisa maendeleo ya jamii wa wilaya
Wasiliana nasi kwa Huduma ya usajili wa NGO na kupata elimu ya uendeshaji wa NGO. Popote ulipo uta hudumiwa kidigitali.
0752825904
[email protected]
(Competence, Confidentiality & Integrity)
20/07/2025
Karibu RTJ Consultancy, Kwa huduma ya usajili wa NGO, kwa haraka na gharama nafuu kabisa. Wasiliana nasi popote ulipo utahudumiwa kidigitali.
0752825904
[email protected]
(Competence, Confidentiality & Integrity)
03/06/2025
Mambo ni Chap chap na RTJ Consultancy, Sajili Biashara yako ndani ya masaa 24 na upate Cheti Cha usajili. Popote Ulipo utahudumiwa wasiliana nasi
0752825904
[email protected]
(Competence, Confidentiality & Integrity)
🇹🇿
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Address
Mbeya