Glorious Rehobothi
06/03/2023
*🚨IFAHAMU SHINGO YA KIZAZI*
Shingo ya kizazi ina majukumu mengi. Wakati wa hedhi hukak**aa na shuka chini zaidi ili kuruhusu damu chafu itoke nje ya Kizazi. Ni mlango wa kupitishia mbegu za kiume kwenda kwenye mji wa mimba na hutengeneza Ute unaovutika ili kusaidia mbegu hizo kuogelea. Shingo ya kizazi hutengeneza utando mzito na mgumu sana kupindi cha ujauzito ili kumkinga/kumlinda mtoto. Shingo ya kizazi hufunguka hadi kufikia sentimita 10 wakati wa kujifungua, na kupitia mfereji huu, mtoto hutoka kwenye mji wa mimba, kupitia ukeni hadi duniani.........
Kuanzia Leo acha kuingiza vitu ukeni dildo,ndizi ,Tango n.k acha. Acha kufukiza uke ,kuweka Vipipi, kutumia manukato na sabuni za kemikali ukeni, maana ukiharibu shingo ya kizazi utapata tabu sana
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mbeya