Gideon mtabibu
08/09/2022
!!
Tatizo hili huathiri viungo na baadae huathiri mfupa/mifupa.
๐ Hutokea baada ya gegedu (cartilage) kulika kwenye viungo pia uteute kuisha.
๐ Huathiri viungo mbalimbali k**a vile pingili za ute wa mgongo, nyonga, magoti n. k
1. Virutubisho vinavyosaidia kuimarisha gegedu vinapopungua mwilini mfano glucoseamine
๐ Mara nyingi virutubisho hupungua kwa sababu ya umri unavyozidi kwenda
๐ Inasemekana mtu akifikisha miaka 30 mwili hushindwa kuendelea kutengeneza virutubisho vinavyotengeneza gegedu (cartilage)
Sababu zinazoongeza kasi ya kutokea kwa osteoarthritis
1. Uzito uliopindukia
2. Historia ya familia
3. Ajali
4. Kutumikisha viungo kupita kiasi mfano wanamichezo, wana mazoezi n. k
Yafuatayo ni yanayowafanya watu wengi waendelee kusumbuliwa na matatizo ya mifupa na maungio:
1. Watu wengi wanatumia dawa za maumivu
๐Dawa za maumivu hupooza/hutuliza maumivu kwa muda tu na baadae maumivu hubakia palepale kwa sababu hazisaidii kuongeza uteute wala gegedu (cartilage)
2. Watu wengi wanafanyishwa mazoezi
๐ Mazoezi pia huwa yanawasaidia watubkwa muda mfupi sana na baadae shida inajirudia pale pale.
๐๐ Kwa hiyo watu wengi ambao wana shida ya viungo kulika na kusagana huishia kufanyiwa upasuaji wa viungo kwa gharama kubwa sana.
DALILI ZA VIUNGO KUSAGANA
๐ Maumivu kwenye magoti
๐ Magoti kushindwa kujikunja
๐Kushindwa kupanda ngazi kwa urahisi
๐Kusikia milio ya mifupa kusagana kwenye magoti
๐ฅ Maumivu kwenye magoti
๐ฅKushindwa kuinama
๐ฅKusikia maumivu makali wakati wa kuinama
!
Hii ni ofa ambayo haijawahi kutokea. Hii ni kwa wale watakaoweza kujipatia tibalishe hizi kabla ya tarehe 30/9/2022. Karibu tukuhudumie leo uondokane na tatizo hili ndani ya muda huu.
Mawasiliano:
Call/whatsapp/sms:0653996935 au +255746025719
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Isyesye
Mbeya
2222