DAMBE
28/09/2024
Eng. Wetu akiwa ameongeza ujuzi za wa solar katika training iliyoandaliwa na Agenergies wakishirikia na Victron Energy Dar es salaam. Ndugu mteja, ukiwa na mradi wako wowote wa solar upo kwenye mikono salama ukiwa pamoja nasi. 📞 0746 021 060 au tembelea office zetu zilizopo Sokoine jijini Mbeya kupata huduma bora za mitambo ya solar.
12/09/2024
Mtambo wa solar wa umeme unaotoa volt 220, ambao mtambo huu pichani unafaa kwa matumizi ya saluni, Maduka ya uwakala, na matumizi mingine madogo madogo. Gharama ya mtambo huu ni Sh 3,500,000/= unakuja na vitu vifuatavyo.
👉 Hybrid inveter yenye ukubwa wa 1.5Kw
👉 Panel za watt 300 pc 3.
👉 Solar batteries 12V/150AH pc 2
👉 Lighting accessories.
Kumbuka kuwa mtambo huu hata umeme ukikatika hutaweza Kujua kwani ni automatic. 📞 0746 021 060 au tembelea ofisi zetu zilizopo sokoine mkabala na Mbeya hotel.
29/08/2024
Je wewe ni mkazi wa Mbeya na unahitaji Solar water heater? Tunazo solar water heater kwa matumizi ya nyumbani hadi kwa ajili ya biashara. Tupigie Leo au whatsapp us # 0746 021 060
Click here to claim your Sponsored Listing.
Website
Address
2308
Mbeya
53201
Opening Hours
| Monday | 08:30 - 17:00 |
| Tuesday | 08:30 - 17:00 |
| Wednesday | 08:30 - 17:00 |
| Thursday | 08:30 - 17:00 |
| Friday | 08:30 - 17:00 |
| Saturday | 08:30 - 17:00 |