Codiso Tanzania

Codiso Tanzania

Share

UFUNGUZI WA SEMINA YA UDIAKONIA CHUO CHA SONGEA VTC 07/08/2025

https://youtu.be/pjbRYK2xcQ4

UFUNGUZI WA SEMINA YA UDIAKONIA CHUO CHA SONGEA VTC Tafadhali endelea kuonesha matendo ya huruma kwa wengine, pia usisahau ku subscribe Youtube channel hii.

Photos from Codiso Tanzania's post 15/07/2025

Wanafunzi wa Chuo cha ufundi stadi Kyela Moravian VTC wakiwa katika Ukumbi wa Chuo hiki, wakisubili kuanza kwa semina ya kuzuia mambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi.

Semina hii imeandaliwa na Idara ya Udiakonia ya Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi kwa ufadhili wa Shirika la Mission 21.

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Jacaranda
Mbeya