Apostle Israel And Ruthu Rehobothi
Contact me on Whatsapp
0676955586
28/12/2023
Kazi ya kioo ni kukuonyesha kasoro ulizonazo ili ufanye marekebisho kuvunja kioo siyo suruhisho ila rekebisha kasoro zako.
Wewe unayesema ninafanya SHOW OFF hujakosea Kabisaaaaa kwasababu nafanya SHOW OFF ya vile ukimtegemea Mungu kwenye maisha yako mwanamke ukasimama kwenye nafasi yako kumlinda mme wako kwa maombi kwa kufunga na kuomba utaona jinsi Mungu anavyoifanya ndoa yako boraaa.
Hiyo dhana ya wanaume wote ni sawa itaisha.
K**a Mungu amesema ndoa ni paradiso ndogo kwanini isiwe haki.
Unashindwaje kudai haki yako kwa Mungu na akaifanya ndoa aliyoiahidi na yeye anasema SIYO MWANADAMU HATA ASEME UWONGO.
Mwanamke tumia nafasi yako uliyo pewa na Mungu wewe ni jeshi kubwa kwanini shetani akuone mpumbavu akunyang'anye haki yako zinduka zinduka.
Kaa kwenye maombi mweleze Mungu hali ya ndoa yako siyo mwanadamu.
Mwanadamu hana msaada kwako zaidi ya kukujaza maneno ya kukuvunja moyo kukatisha tamaa ili uone na mme wako ni k**a wakwake halafu ndo utasikia wanaume wote ni sawa.
Badirika mwanamke upone Kwa Jina la Yesu
Pamoja na kutumia akili nyingi Mungu ahusike zaidi kwenye ndoa yako.
We nipopoe tu lakini yupo mtu Mungu amekusudia kuponya ndoa yake akikubali kujifunza na kubadirika.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the place of worship
Telephone
Website
Address
Uyole
Mbeya