CCR Insurance Agency.

CCR Insurance Agency.

Share

17/01/2020

NEWS..

24/10/2017

Bima ya Afya /Medical Insurance - *The Jubilee Insurance Co. Of Tz Ltd*/Package Mpya inaitwa (Afya wote)

*Baba + Mama + Watoto wawili Kwa Tzs 174,000/- tu*... Kwa mwaka mzima/Annual
Ukitaka kuongeza idadi ya watoto ni *Tzs 100,000/*- kwa kila atakayeongezeka..

*Outpatient Benefits ni Unlimited*... Namaanisha kuingia na kutoka ktk kituo cha afya/hospitali hamna ukomo... (matibabu ya kutokulazwa)

*Other Benefits*:
Kulazwa - Tzs 2,500,000/-
Uzazi wa kawaida - Tzs 800,000/-
Uzazi wa upasuaji - Tzs 2,500,000/-
Ubani wa mazishi - Tzs 500,000/-

*Mahitaji* Watu wazima ni kadi ya kupigia kura na picha tuu... Umri usiozidi miaka 65.
Kwa watoto ni picha, majina kamili, umri na jinsia. Umri ni chini ya miaka 18.

Have a nice Day 🙏🙏

Photos from CCR Insurance Agency.'s post 15/10/2017

LADY JUBILEE KWA BIMA YAKO GARI NA FAIDA LUKUKI!!!
Special KWA AKINA DADA BIMA ZAO ZA MAGARI!!

Photos from CCR Insurance Agency.'s post 15/10/2017

MKOMBOZI WA KWELI WA AFYA YAKO AMEWASILI!!

KARIBU JUBILEE INSURANCE...

Photos 18/05/2017

THATS WHY WE ARE THE BEST!!!!

Want your business to be the top-listed Finance Company in Kigoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


P. O Box 427, Kigoma Municipality
Kigoma

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00