Kicora FM

Kicora FM

Share

23/10/2025

AHADI KWA VIJANA WA BODABODA!
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kakonko atoa ahadi ya kujenga vituo (vimvuli) vya kisasa kwa waendesha bodaboda
Pia ameahidi kushirikiana na mamlaka husika kuhakikisha upatikanaji wa leseni kwa haraka na kwa urahisi zaidi .

Ni wakati wa kuinua sekta ya bodaboda — vijana wafaidike, biashara iende mbele!

29/07/2025

China imeanzisha mpango wa kitaifa wa kutoa ruzuku ya yuan 3,600 kwa mwaka kwa kila mtoto mwenye umri chini ya miaka mitatu. Lengo ni kupunguza mzigo wa gharama za malezi kwa familia na kuongeza kiwango cha uzazi nchini humo.

Mpango huu utawanufaisha familia takribani milioni 20, na umetajwa kuwa hatua ya kwanza ya kitaifa kushughulikia changamoto ya kupungua kwa idadi ya watu licha ya kuondolewa kwa sera ya mtoto mmoja.

Familia zilizo na watoto waliozaliwa kati ya 2022 na 2024 pia zinaruhusiwa kutuma maombi ya ruzuku hiyo. Serikali ya China inaendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kuhamasisha ongezeko la watoto.

#

Want your business to be the top-listed Media Company in Kigoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Kigoma