PWM Family Int'l
Karibu PWM Family Int'l
Tutakuwepooooooooo
Jumatano hii na alhamis
Kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saa 12 jioni.
Mahali ni: PMC Mailimoja Kibaha kwa Bishop Gervase Masanja
Njia ya kuelekea Mailimoja shule kabla ya kufika kanisa la sabato upande wa kushoto utaona bango la PMC fuata hiuyo njia utafika kanisani.
Let us Praise the Lord!
14/09/2025
Tunawakaribisha watu wooote, wa dini zooote, makabira yooote,
Hakuna kiingilio.
06/09/2025
Karibuni sana
04/09/2025
Tukutane live FB, TikTok & YoTube
PWM Family Int'l
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the organization
Telephone
Address
Mailimoja
Kibaha
61002