T.A.G Kwa Mathias Nazareth
15/08/2024
Viongozi wetu Mungu awe pamoja katika Safari nyingine ya kulitumikia KANISA letu pendwa La TAG
07/05/2023
Leo Ni sikukuu ya CMF, wanaume wameazimisha sikukuu yao nzuli leo hakika Mungu azidi kuwainua wanaume wa TAG kwa Matias mbele yao ni mchungaji kiongozi Eliudi njoka. Na mchungaji msaidi Kristina njoka 👏👏👏👏👏 Tunamtaka Bwana na Nguvu zake....
BWANA YESU ASIFIWE WA WA MUNGU
TUNAWAPENDA WOTE NA MUNGU AKAWAPE HITAJI LA MIOYO YENU .AMINA
07/10/2021
WAZAZI WETU WA KIROHO WAKIWA PAMOJA NA WAUMINI WA TAG KWA MATHIAS KWA PAMOJA TUNAZIDI KUWAOMBEA
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Tagkwamathias@gmail. Com
Kibaha