REFRA 9
Dream is not that you see in a sleep but dream is that let you not sleep then stay focused on your dreams
Hi fam
Maisha ni k**a mtihani ambao kila mtu anakaratasi ya maswali ambao unamuda maalumu wa kukusanya||to passout|| maana ni mipango yamungu kufa hata ujipende lakini mungu anakupenda zaidi. Then °°°quit praising others°°°
Maana muda utakao kuwa unajaribu kuwa ridhisha watu iliwakupende labda, utakuwa unawapa urahisi wa kufanya mitihani yao kwa usahihi napengine kuweza kufaulu vizuri, huku wewe ukizidi kujiandalia kufeli katika mtihani wako.
Katika maisha siyo vizuri kulitamka neno ningejua maana huja mwisho wa safari.
Tafakari chukua hatua share na wengine
tutafakari pamoja ✍✍✍🙏🙏🙏
°°°°°°Great thinker never fail°°°°°
19/08/2018
like and share for love
folow ,, @
Refra 9
Refra 9
Refra 9
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the establishment
Telephone
Website
Address
Kigoma P. O. Box 443
Kasulu