Lurishy

Lurishy

Share

14/03/2023

Je unapenda urembo? Unahitaji kujifunza urembo ,makeup
Aella beauty unatoa huduma ya kujifunza urembo na makeup.
Tutajifunza

Jinsi ya kutunza ngozi kabla na baaada ya kufanya makeup

Kupaka foundation kwa aina ya rangi na ngozi ya mtu

Utindaji wa nyusi na upakaji wanja kisasa

Kuondoa makeup na kutunza ngozi isipate madhara baada ya makeup

Darasa letu litaanza tarehe 20/03/2023 tutajifunza mida ya usiku kutokana na shughuli za mchana na wengine makazi

Wahi leo kulipia Ada Tsh 30000 kwenda 0752814712 kisha tuma meseji watsup kwa namba hiyo hiyo kukuadd kwa group

Baada ya mafunzo kukamilika nitatumai mirejeshi ya kazi mtakayo fanya kwa ajili ya kuboresha na kupena tips nzuri za makeup

Photos from Lurishy's post 09/09/2021

My Girl
On process
Makeup by us

09/09/2021

L.I.D.Y.A

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Kariakoo?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Utulivu
Kariakoo