ILULA FDC

ILULA FDC

Share

08/04/2026

NAFASI ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI NGAZI YA TATU
PAKUA FOMU YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KATIKA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI ILULA

UKISHA JAZA FOMU IRUDISHE CHUONI AU UNAWEZA TUMA KWA NJIA YA WHATSAPP
KUPITIA NAMBA ZIFUATAZO: 0768 781 792, 0757 517 343, 0652 895 909

07/02/2026

With BRAC Maendeleo Tanzania – I just got recognized as one of their top fans! 🎉

21/01/2026

Karibuni kujiunga nasi — udahili bado unaendelea!

01/01/2026

Heri ya Mwaka Mpya 2026!
Tunawakaribisha kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi.
Udahili bado unaendelea kwa kozi zifuatazo:

Umeme,Ushonaji,Ufundi Bomba,Upishi,Ujenzi na

Uundaji wa Vyuma

Mahali:
Ilula, Mkoa wa Iringa — km 45 kutoka Mji wa Iringa, kando ya barabara kuu ya Dar es Salaam–Mbeya.

Upatikanaji wa fomu:
Fomu zinapatikana chuoni (Ilula FDC – Staff)
au omba fomu kupitia WhatsApp kwa namba zifuatazo:
📲 0768 781 792 | 0757 517 343 | 0652 895 909

Mawasiliano:
📧 Barua pepe: [email protected]

Karibu ujisajili mapema.

26/12/2025

Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Ilula (Ilula FDC) kinawatangazia wananchi wote nafasi za kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi (Ngazi ya Kwanza) kwa mwaka 2026.

📍 Mahali:
Ilula, Mkoa wa Iringa — km 45 kutoka Mji wa Iringa, kando ya barabara kuu ya Dar es Salaam–Mbeya.
Fomu zinapatikana Chuo (ILULA STAFF) au

📲 Au omba fomu kupitia WhatsApp kwa namba zifuatazo:
0768 781 792 | 0757 517 343 | 0652 895 909

✍️ Baada ya kujaza fomu:
Irudishe chuoni au itume kupitia WhatsApp.
Emmanuel Mwigune MsabatoOrgElias Musasta@followers
Joas ChungwaBRAC Maendeleo TanzaniaIPOGOLO,KIHESA,CAGRIELO,IGUMBILO,KITWIRU&IRINGA MJINI BUY AND SELL DEALSTulizo MhapaWAHEHE KUTOKA MKOA WA IRINGAShamba Fm Radio

Want your university to be the top-listed University in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Ilula
Iringa
255