NESA Vocational Training Centre
Uhumimu wa kupata mafunzo ya usalama barabarani
23/07/2025
*RTO MTUI AFANYA UKAGUZI KATIKA CHUO CHA UDEREVA (NESA) -MUFINDI*
📌 *CHATAJWA KUWA CHUO KINARA MUFINDI*
📌 *UNASUBIRI NINI JIUNGE NA NESA SASA*
_Na Man Kay Anton_
MKUU wa Usalama barabarani Mkoa wa Iringa, Mrakibu wa Polisi *SP Glory Mtui (RTO* ) amefanya ukaguzi Maalum katika Chuo Cha mafunzo ya Udereva (NESA DRIVING SCHOOL) kilichopo Wilayani Mufindi Mkoa Iringa leo Julai 23, 2025 kwa lengo la kuona namna ya mafunzo yanavyotolewa kwa Wanafunzi wa Udereva.
Akiwa Chuoni hapo RTO Mtui Baada ya tathmini ya kina, Nesa Driving School imetajwa kuwa chuo pekee Wilayani Mufindi kilichokidhi vigezo rasmi vya kutoa mafunzo ya awali ya udereva kwa ubora unaotakiwa na mamlaka husika.
✅ Walimu wenye uzoefu na leseni halali
✅ Madarasa ya kisasa yenye vifaa vya kujifunzia
✅ Mafunzo ya nadharia na vitendo kwa usawa
✅ Ufuatiliaji wa kitaalamu kwa kila mwanafunzi
--------------------------------------------- *STUKA SASA*
🎯 Unasubiri nini? Jiunge na Nesa Driving School leo!
Pata maarifa sahihi, leseni halali, na ujiandae kuwa dereva bora na mwenye nidhamu barabarani.
📍 Tunapatikana Mufindi – Chuo kilichothibitishwa rasmi na mamlaka za serikali.
📞 Wasiliana nasi kwa usajili na maelezo zaidi: [0753650428 ]
--------------------------------------------- *MAFUNZO SAHIHI*
NESA DRIVING SCHOOL – Mafunzo Sahihi, Usalama Barabarani Kwanza! 🚘
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the university
Website
Address
107
Iringa
51000
Opening Hours
| Monday | 07:30 - 18:00 |
| Tuesday | 07:30 - 18:00 |
| Wednesday | 07:30 - 18:00 |
| Thursday | 07:30 - 18:00 |
| Friday | 07:30 - 18:00 |
| Saturday | 09:00 - 13:00 |