Prophet Rogers Ministry

Prophet Rogers Ministry

Share

12/04/2026

Usimkanyage mwenzako kupanda juu.
Mwamini Mungu

30/03/2026

Imekuwa ibada ya baraka sana pale Nairobi.
Watu wa Nairobi Mungu awatunze sana kwa jina la Yesu.

Tukutane tena April 2026
Prophet Rogers Ministry

Photos from Prophet Rogers Ministry's post 22/02/2026

R. I. P

Pumzika kwa amani mwanafunzi wangu na mtoto wangu mtiifu. Ulipenda kunipiga picha ninapomhubiri Yesu, lakini sasa umeondoka. Bye bye👋 Doris my spiritual daughter

17/02/2026

NI SIKU MOJA TU
NAIROBI CRUSADE KATIKA UKUMBI WA DELFIRM HOTEL.

NI 28 FEBRUARY 2026
WELCOME ALL

02/01/2026

2 Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, k**a vile roho yako ifanikiwavyo.
3 Yohana 1:2

MWAKA HUU UTAFANIKIWA KATIKA MAMBO YOTE

Want your practice to be the top-listed Clinic in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Iringa