Southern Tanzania Elephant Program
๐๐ข๐ฉ๐จ๐ญ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐๐๐ ๐ฒ๐ ๐๐ฐ๐๐ค๐ ๐๐๐๐.
Mwaka 2025 ulikuwa wa mafanikio makubwa kwa uhifadhi Kusini mwa Tanzania kupitia ushirikiano wa jamii, serikali na wadau wa uhifadhi.
๐๐๐ญ๐ฎ๐ ๐ฆ๐ฎ๐ก๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ข๐ฅ๐ข๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ญ๐๐ฆ๐๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฐ๐ ๐ซ๐๐ฌ๐ฆ๐ข ๐ค๐ฐ๐ ๐ฌ๐ก๐จ๐ซ๐จ๐๐ ๐ฒ๐ ๐๐๐ง๐ฒ๐๐ฆ๐๐ฉ๐จ๐ซ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ฒ๐๐ซ๐๐ซ๐โ๐๐๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฐ๐ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐ฌ๐ก๐จ๐ซ๐จ๐๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ณ๐ ๐ง๐๐ก๐ข๐ง๐ข ๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐ ๐ค๐ฎ๐ญ๐๐ฆ๐๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฐ๐ ๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐๐ซ๐ข๐, hatua inayosaidia kulinda makazi ya wanyamapori na kuimarisha mahusiano kati ya binadamu na tembo.
Kwa kushirikiana na jamii, taasisi za serikali na wadau wa uhifadhi, STEP ilifanikiwa yafuatayo:
๐ข ๐๐ฎ๐๐๐๐ก๐ข๐ฅ๐ข ๐ค๐ฆ ๐๐,๐๐๐ ๐ณ๐ ๐๐จ๐ซ๐ข๐ ๐ณ๐ ๐ฎ๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข
๐ข ๐๐ฎ๐จ๐ง๐๐จ๐ ๐ฆ๐ข๐ญ๐๐ ๐จ ๐,๐๐๐ ๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐๐ฎ๐ง๐ ๐ ๐ค๐๐ฆ๐๐ข ๐๐๐ ๐ณ๐ ๐ฐ๐๐ฐ๐ข๐ง๐๐๐ฃ๐ข ๐ก๐๐ซ๐๐ฆ๐ฎ
๐ข ๐๐ฎ๐ฌ๐๐ข๐๐ข๐ ๐๐๐๐๐ฌ ๐๐ ๐ณ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ฐ๐๐ง๐๐๐ก๐๐ฆ๐ ๐,๐๐๐
๐ข ๐๐ฎ๐ฐ๐๐๐ข๐ค๐ข๐ ๐ฐ๐๐ง๐๐๐ฎ๐ง๐ณ๐ข ๐ณ๐๐ข๐๐ข ๐ฒ๐ ๐๐,๐๐๐ ๐ค๐ฎ๐ฉ๐ข๐ญ๐ข๐ ๐๐ฅ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฒ๐ ๐ฎ๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข
๐ข ๐๐ฎ๐ซ๐๐ค๐จ๐๐ข ๐๐ข๐ง๐ ๐๐ ๐ณ๐ ๐ฆ๐๐ฆ๐๐ฅ๐ข๐ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐๐จ๐ซ๐ข๐๐จ ๐ฒ๐ ๐๐ฒ๐๐ซ๐๐ซ๐โ๐๐๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฐ๐
Mafanikio haya yanaonyesha ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ข๐ญ๐จ๐ฅ๐๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ฃ๐๐ฆ๐ข๐ข, ๐๐ฌ๐ค๐๐ซ๐ข ๐ฐ๐ ๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐๐ฆ๐๐ฉ๐จ๐ซ๐ข, ๐๐ฌ๐ค๐๐ซ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐ข๐ฃ๐ข๐ฃ๐ข, ๐ฐ๐๐ญ๐๐๐ข๐ญ๐ข, ๐ฐ๐๏ฟฝ
23/05/2026
๐๐ฎ๐๐จ๐ซ๐๐ฌ๐ก๐ ๐๐๐ฒ๐ ๐ฒ๐ ๐๐ฎ๐ค๐ฎ, ๐ค๐ฎ๐ข๐ฆ๐๐ซ๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ฆ๐๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ฒ๐ ๐ฃ๐๐ฆ๐ข๐ข
Afya bora ya kuku huanza na maarifa sahihi. Kwa msaada wa , STEP kwa kushirikiana na wakufunzi kutoka ๐๐ง๐ข๐ฆ๐๐ฅ ๐๐ซ๐ฎ๐ฌ๐ญ ๐๐จ๐ง๐ฌ๐ฎ๐ฅ๐ญ๐๐ง๐ญ ๐๐ง๐ ๐๐๐๐ก๐ง๐จ๐ฅ๐จ๐ ๐ฒ ๐๐จ๐ฆ๐ฉ๐๐ง๐ฒ iliendesha mafunzo ya afya ya kuku๐ค๐ฐ๐ ๐ฅ๐๐ง๐ ๐จ ๐ฅ๐ ๐ค๐ฎ๐ฐ๐๐ฌ๐๐ข๐๐ข๐ ๐ฐ๐๐๐ฎ๐ ๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐๐๐จ๐ ๐จ ๐ค๐ฎ๐๐จ๐ซ๐๐ฌ๐ก๐ ๐ฎ๐๐ฎ๐ ๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ ๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐ฉ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ณ๐ ๐ก๐๐ฌ๐๐ซ๐ ๐ณ๐ข๐ง๐๐ณ๐จ๐ญ๐จ๐ค๐๐ง๐ ๐ง๐ ๐ฆ๐๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐.
๐๐๐๐ฎ๐ง๐ณ๐จ ๐ก๐๐ฒ๐จ ๐ฒ๐๐ฅ๐ข๐ฐ๐๐๐ข๐ค๐ข๐ ๐ฐ๐๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฆ๐ ๐๐๐ ( ๐๐% ๐ฐ๐๐ง๐๐ฐ๐๐ค๐).Mafunzo ๐ฒ๐๐ฅ๐ข๐ฃ๐ข๐ค๐ข๐ญ๐ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ฎ๐ฌ๐ข๐ฆ๐๐ฆ๐ข๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐๐ฒ๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ, ๐ฎ๐ญ๐๐ฆ๐๐ฎ๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐, ๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ง๐ณ๐๐ฃ๐ข ๐ฌ๐๐ก๐ข๐ก๐ข ๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ, ๐ฉ๐๐ฆ๐จ๐ฃ๐ ๐ง๐ ๐ฎ๐ฆ๐ฎ๐ก๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฐ๐ ๐๐ก๐๐ง๐ฃ๐จ ๐๐ก๐ข๐๐ข ๐ฒ๐ ๐ฎ๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐ ๐ฐ๐ ๐๐ข๐๐๐ซ๐ข.
Kwa kuwapatia wafugaji maarifa na ujuzi, ๐๐๐๐ ๐ข๐ง๐๐๐ง๐๐๐ฅ๐๐ ๐ค๐ฎ๐ฌ๐๐ข๐๐ข๐ ๐ค๐ฎ๐๐จ๐ซ๐๐ฌ๐ก๐ ๐ฎ๐ณ๐๐ฅ๐ข๐ฌ๐ก๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ, ๐ค๐ฎ๐ข๐ฆ๐๐ซ๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ฆ๐๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐๐ฒ๐, ๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐ฃ๐๐ง๐ ๐ ๐ฃ๐๐ฆ๐ข๐ข ๐ณ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ฎ๐ฌ๐ญ๐๐ก๐ข๐ฆ๐ข๐ฅ๐ข๐ฏ๐ฎ ๐ณ๐๐ข๐๐ข.
18/04/2026
๐๐๐ฎ๐๐ญ๐ข๐ฅ๐ข๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐ฌ๐ก๐จ๐ซ๐จ๐๐ ๐ฐ๐ ๐๐๐ง๐ฒ๐๐ฆ๐๐ฉ๐จ๐ซ๐ข ๐ฐ๐ ๐๐ฒ๐๐ซ๐๐ซ๐โ๐๐๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฐ๐
Ushoroba wa Wanyamapori wa NyerereโUdzungwa ni mfano muhimu wa kujifunza jinsi urejeshaji wa ushoroba unavyoweza kusaidia muunganiko wa makazi ya wanyamapori na kuimarisha uhusiano chanya kati ya binadamu na wanyamapori katika maeneo yenye matumizi mchanganyiko ya ardhi.
Kwa sababu hiyo, STEP kwa kushirikiana na na Kituo cha Ufuatiliaji wa Ikolojia cha Udzungwa (.tanzania ), imekuwa ikifuatilia jinsi wanyamapori wanavyotumia ushoroba huu.
Kupitia matumizi ya kamera za kunasa picha (camera traps) na doria za ardhini za kila mwezi, tumerekodi aina 28 za mamalia katika eneo la ushoroba, wakiwemo tembo, nyati, mondo, na mbawala. Inatia moyo kuwa matokeo ya awali yanaonesha ongezeko la shughuli za tembo katika ushoroba tangu mwaka 2023.
Pia tunashirikiana na Wafuatiliaji wa Tembo wa Kijiji (Local Elephant Monitors) katika vijiji jirani kufuatilia uharibifu wa mazao unaosababishwa na tembo, ambapo matokeo ya awali yanaonesha kupungua kwa matukio hayo.
Kwa pamoja, ufuatiliaji huu wa muda mrefu unatoa uelewa muhimu kuhusu jinsi urejeshaji wa ushoroba unavyoweza kusaidia harakati za wanyamapori na kuimarisha uhusiano wa kuishi kwa pamoja kati ya binadamu na tembo.
Shukrani kwa msaada mkubwa na wa ukarimu kutoka kwa USAID, , , na , kazi hii inaendelea kutoa ushahidi muhimu unaosaidia kuongoza hatua za uhifadhi na kuimarisha uhusiano wa kuishi kwa pamoja kati ya binadamu na wanyamapori katika mandhari yote ya eneo hili.
uhifadhiafrika
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the organization
Address
P. O. Box 2494
Iringa