AFYA YA JAMII
15/09/2020
TIBA YA YA KUDUMU YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Baadhi ya wanaume wanakabiliwa na changamoto kadhaa za uzazi ikiwemo pungufu wa nguvu za kiume,uchache wa mbegu za kiume au hata kuwa na mbegu dhaifu sana zinazoshindwa kurutubisha yai la mwanamke vizuri
Kwa watu wanaopenda kufuata msingi wa tibalishe (Virutubisho) katika kukabiliana na tatizo hili wanaweza kumtafuta mtu huyu kwa msaada
Aina ya tiba : VIRUTUBISHO
Ubora: VIMETHIBITISHWA
Jina:AFYA YA MWANAUME
Mawasiliano: 0620126323
11/09/2020
Je wewe ni mwenamke na unasumbuliwa na haya yafuatayo na magonjwa ya uzazi au ungependakupata elimu zaidi kuhusu afya yako kiujumla au ushauri? K**a ni ndio upo sehemu sahihi ..Karibu ujiunge nasi katika group la whatsapp ilikujua yote hayo ikiwemo kupata elimu ya afya ya uzazi...
Pia tunavirutubisho kadha ambavyo husaidia kupambana na magonjwa k**a PID,UTI,KURUDISHA MZUNGUKO WA HEDHI KATIKA MPANGILIO MZURI,KUONDOA NA KUTIBU FUNGUS, KUONDOA HARUFU MBAYA , PAMOJA NA MENGINE MENGI
bonyeza link apo chini kujiunga nasi
Afya ya mwanamke WhatsApp Group Invite
02/05/2020
Chemsha maji moto au chukua maji moto yaliyopo kwenye chupa ya chai, acha yapoe kidogo na kuwa ya uvuguvugu, kisha weka kijiko kimoja cha asali mbichi kunywa kisha lala. Kunywa maji hayo nusu saa au zaidi baada ya kula chakula cha mwisho.
Kitendo hicho kitakuwezesha kuyeyusha mafuta, kusadia usagaji wa chakula tumboni na hivyo kukuwezesha kutoa uchafu na sumu mwilini kwa njia ya haja kubwa. Kwa utaratibu huu, hutakaa na uchafu tumboni wala mrundikano wa mafuta mabaya mwilini.
Ni jambo lisilo shaka kuwa iwapo kila mmoja wetu atazingatia kanuni za ulaji na unywaji sahihi, bila shaka matatizo ya moyo na shinikizo la damu yanaweza kupungua kwa kiwango kikubwa, k**a siyo kutoweka kabisa.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Address
Iringa
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 16:00 |
| Sunday | 09:00 - 16:00 |