AFYA BORA
11/01/2022
Rejesha furaha yako,Tumia virutubisho lishe kuondoa shida za uzazi.
FEMICARE ndo furaha ya MWANAMKE.
10/01/2022
Dalili kuu za fangasi wa ukeni ni
1)Kuhisi muwasho sehemu za siri,yaweza kuwa sehem za nje au ndani.
2)kutokwa na uchafu sehemu za siri wenye mfano wa waziwa mgando.
3)kutokwa na vipele vidogo dogo sehem za siri na maeneo ya karibu.
4)Uke kuwa mkavu
5)Kupata maumivu wakati wa kujamiiana.
Tatizo hili limekuwa ni sugu mno kwa wanawake wengk,kutokana na tatizo hili kujirudia mala kwa mala licha ya matibabu mbali mbali.Usugu huu hutokana na matibabu mabovu na matumizi mabovu ya madawa mbalimbali yatibuyo shida hiyo.
Ipo suluhisho,Vipo virutubisho lishe ambavyo ni kiboko ya usugu tatizo hili.Virutubisho lishe vina uwezo mkubwa wa kuondoa usugu wa gonjwa hili na kufanya kutokujirufia tena.
TUMIA VIRUTUBISHOLISHE KWA UHAKIKA WA AFYA YAKO.
Pata huduma ya Elimu ya Afya buree,na huduma ya Matibabu ya Uhakika
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
MKWAWA
Iringa