Jerrysprime_aficando
30/09/2025
*MAELEZO, TAFSIRI, SIFA, UFAFANUZI, FAIDA NA MANUFAA KUHUSU CRYPTOCURRENCY*(maswali & majibu)
Cryptocurrency ni mfumo mpya wa kifedha ambao tunaweza kuuita ni mfumo wa kidigital kwani haina hii ya fedha au sarafu/coins huwezi kuzishika kwa mkono wala kuziona kwa macho (physically) k**a zilivo pesa za kawaida(FIAT).
Na pia hata katka usafiri wake baina ya mtu mmoja na mwingine hufanyika kwa njia ya MTANDAO (INTERNET )tu tena katika mfumo wake imara na wenye ulinzi wa kutosha ujulikanao k**a BLOCKCHAIN.
(Tafsiri ndoooogo na kwa ufupi BLOCKCHAIN :ni mapinduzi ya nne ya uchumi duniani.)
Hapo mwanzo kulikuwa NA mapinduzi ya kwanza-(1) makaa ya mawe(COAL ) kwenda kwenye mafuta (Diesel) , ya pili-(2) ilikuwa mafuta kwenda kwenye Umeme (electricity) , na ya Tatu ikawa-(3) Umeme kwenda kwenye INTERNET katika UZALISHAJI .
Mapinduzi ya nne ambayo yamepewa jina la BLOCKCHAIN ni - (4)internet kwenda kwenye TECHNOLOGY)
YAANI ni matumizi ya ufundi,ujuzi na sayansi ya juu na ya uhakika,usalama, ufanisi, tija, viwango na ulinzi wa mitambo duniani katika Kuzalisha mali)
Mfano :1.kutumia KOMPUTA ni Blockchain, kwanza Inatumia internet, mtumiaji atakuwa mmoja atatumia kwa muda mfupi ila atakuwa kafanya kazi/ajira ya watu (50)hamsini yeye peke yake na uzalishaji (faida /tija) itakuwa kwa jamii nzima yenye watu maelfu kwa maelfu.
Hata huu ujumbe Kuna uwezekano ndani ya muda mfupi saaana wakaupata wasomaji 50K lakini umetayarishwa NA mwandishi mmoja (1)k**a tija ya internet(technology) hayo ni matokeo ya matumizi ya internet ya kawaida saaana.
Mfano :2.kulima shamba kubwa la mahindi kwa kutumia TRACTOR-mtambo (lakisasa) kubwa moja (1)ambalo linaongozwa na OPERATOR mmoja(1) ni Blockchain.
TRACTOR ni mashine au MTAMBO ambao unatumia technology.
Ndani ya Wiki moja linaweza likalima, weka mbolea na kupanda mbegu ekari zaidi ya elfu hamsini (50K) na tija (Mavuno) itakayopatikana itakuwa faida kwa watu zaidi ya million tatu (3M).
Hapo awali ekari elfu 50 hata k**a jamii ya vijiji kumi na ng'ombe elfu moja ni jambo lisilowezekana kulima shamba Hilo kwa wiki moja.
Kwa kuongezea CRYPTO -nikitu chochote kinacho onekana na kinathamani lakini hakiwezi kushikika. (YOU CAN CAN SEE it BUT CAN'T TOUCH it)
CURRENCY -ni Sarafu k**a inavyojieleza mfano; dollar,tanzania TSHS ,Pound n.k
Hivyo kwa Ujumla Crypto currency ni sarafu zenye thamani k**a sarafu zingine na zinaonekana lakini huwezi kuzishika kwa MIKONO .
Nadhani hapo tuko pamoja umepata concept kamili ya Crypto currency.
Sababu zilizopelekea kuanzishwa kwa biashara ya CRYPTOCURRENCY 💱 .
KWANINI CRYPTOCURRENCY ILITENGENEZWA?
lliundwa baada ya kuyumba kwa uchumi wa Dunia mnamo mwaka 2008 k**a njia mbadala ya watu kuwa na mamlaka na pesa zao wenyewe, bila kutegemea kampuni, benki,Taasisi au serikali kusimamia au kushikilia pesa zao.
Hivyo unatakiwa kuelewa kua iliundwa ili kila mtu awe benki.
Baaadhi ya CHANGAMOTO zinazoikumba cryptocurrency.
1.Elimu na uelewa juu ya CRYPTOCURRENCY.
Tatizo hili ni kubwa sana kwani ni watu wachache sana Wana uelewa japo kidogo juu ya mifumo hii ya kimitandao na pia k**a tunavyoona hapa hii mifumo yote inajiendesha na kufanya kazi ONLINE ni watanzania wachache sana wana elimu au uelewa juu ya cryptocurrency na hata mitandao kwa ujumla na tunashindwa kuelewa tupo kwenye..
"Information Age/error " hivyo ruka au lala "Internet is a FUEL ⛽ " Uchumi na kipato cha kweli kipo mtandaoni.
2.UTAPELI.
Yani hii ni CHANGAMOTO kubwa sana kwenye ili soko kwani kuna utapeli wa hali ya juu na hiyo inatokana na kwamba kwa kua ELIMU juu ya cryptocurrency bado haijapenya kwa upana wake wanaojua uhalisia wake ni watu WACHACHE sana..
Hivyo wengine wanatumia hiyo fursa kutapeli.
MFANO ; kuna baadhi ya watu wanatengeneza kampuni kabisa na kutapeli watu na wanafunga kampuni wanapotea na pesa za watu.
Ni muhimu sana UJIFUNZE kwa undani mambo haya kabla hujafanya maamuzi ya kuweka pesa zako.. UTALIA!
3.Watu Kutaka pesa za haraka na kwa pupa (TAMAA).
Hili ni tatzo ni kubwa sana miongoni mwa vijana wengi wa TANZANIA , duniani na Africa kwa ujumla, utakuta kijana akishapata uelewa kidogo juu ya BITCOIN anaanza kutafuta sehemu ya kuwekeza kwa haraka pasipokuwa na uhakika juu ya USALAMA wa kampuni hiyo ila anawekeza kwasababu tu ameambiwa inalipa vizuri na yeye anataka pesa za haraka..
MWISHO wa siku anajikuta kampuni hiyo INAPOTEA mtandaoni na anakula hasara na baadae na yeye anaanza kuamini kuwa cryptocurrency ni utapeli au wizi, baadae anakata tamaa juu ya CRYPTOCURRENCY na kuwathibitishia watu wa jamii inayomzunguka kuwa cryptocurrency sio salama, kumbe yeye ndio alikurupuka na kufanya MAAMUZI yasiyo sahii pia hakupata uelewa wa kutosha juu ya fursa hii.
4.MITIZAMO hasi juu ya cryptocurrency.
Mfano;- kuna watu hata ukijaribu kuwaelezea maana tu ya bitcoin ni nini na inafanyaje kazi, wao moja kwa moja wanajua ni wizi na wanakwambia hiyo ni DECI, ma-Vampires wa uchumi duniani wao wanaamini kuwa bitcoin au cryptocurrency ni kikundi cha watu fulani wamekaa..na kuunda kitu fulani kwaajili ya kuiba pesa za watu kitu ambacho sio kweli.
Lakini tunatakiwa tujue hakuna kitu ambacho hakina utapeli hapa kuna NYUMBA ZA IBADA, NGO (Organization), TAASISI (za kidini, binafsi na Uma) ambazo kazi YAO kubwa ni kutapeli watu hivyo ni vizuri kuchunguza jambo kwa undani kabisa kabla ya kufanya maamuzi ya kuweka PESA zako.
Baada ya kuona INTRODUCTION (maelezo ya awali) kidogo ya crypto-currency (CRYPTOCURRENCY) Sasa twende kwenye aina za crypto currency
👉Kuna aina kuu mbili za crypto currency.
1.COIN
2.TOKEN
👉COIN ni cryptocurrency zote ambazo zina BLOCKCHAIN yake
Zenyewe mfano. ADA blockchain yake cardano BNB, BITCOIN, ETHERIUM, SOLANA, LITE COIN blockchain yake binance
👉TOKEN ni zile cryptocurrency zisizokuwa na BLOCKCHAIN , zinaazima.
Mfano:SHIB inatumia block chain ya ETHERIUM
⬇️Tumejifunza Cryptocurrency ni nini sasa tuangalie kwa Ufupi ni nini??
k**a moja ya crypto currency na akiwa k**a crypto mama sokoni
👉Crypto zingine tunaziita ALTCOINS (yaani alternative coins)
ALTCOINS -Ni coin zozote tofauti na Bitcoin Au ni coin zote isipokuwa Bitcoin.
BITCOIN NI NINI ?
Bitcoin ni mfumo mpya wa kifedha ambao TUNAWEZA kuuita ni mfumo wa sarafu ya kidigital kwani aina hii ya fedha au sarafu huwezi kuzishika k**a zilivo pesa za kawaida na pia hata katika utumaji wake baina ya mtu mmoja na mwingine hufanyika kwa njia ya mtandao tu.
-BITCOIN ni pesa ya kwanza ya kidigital , kubwa, maarufu, imara, yenye thamani, yenye kuaminika (usalama, ulinzi na sheria) au CRYPTOCURRENCY ya kwanza duniani iliyofanyiwa, majaribio na utafiti wa kina na kuzinduliwa au kuanzishwa mwaka 2009.
-SARAFU hii au fedha hii ya kimtandao ipo kwenye group la pesa linaloitwa Cryptocurrency.
Naomba nitumie neno BITCOIN kuwakilisha CRYPTOCURRENCY zote kwa maana zinafanana katika matumizi yake na njia zake zinavyotumika yaani zote ni pesa zilizo kwenye group moja la cryptocurrency (pesa za mtandaoni) lakini zinatofautiana kiteknolojia.
Ni sawa nikisema dola ni pesa lakini utofauti na pesa nyingine ni kwamba yenyewe ni pesa ya Marekani nadhaani umenipata!
SIFA ZA BITCOIN.
1.Fedha hizi hazimilikiwi na taasisi yeyote bali inamilikiwa na kila mtumiaji anaetumia hivyo k**a hauitumii basi wewe si mmiliki(tofauti na fedha nyingine zinamilikiwa na serikali)
2.Bitcoin ni pesa lakini hapohapo ni mfumo wa kimiamala (it's a currency and It's a payment system) soma maelezo kwenye caption.
3.Bitcoin ni mali sio fedha tu (it's an asset/mali isiyohamishika-ardhi ) kwasababu ya sifa namba mbili.
4.Ni bora zaidi kuliko asset ( zaidi Ina sifa ya kupanda thamani Kila uchwao K**a ARDHI) yeyote duniani kwa kuwekeza(sababu haitegemei taasisi yeyote ili ifanye kazi na haiwezi kufa) yaani ni sawa unataka kuiua INTERNET, internet is a FUEL ⛽ Kuua internet Ni jambo lisilowezekana Sawa na kukausha mafuta yooote duniani )
5.Ni rahisi kuitumia na kuituma kutoka sehemu moja kwenda nyingne.
6.Haina makato makubwa yani makato yake ni sawa na Bure kulinganisha na pesa zetu za kawaida.
7.Tuma kwenda nchi yeyote bila kizuizi na gharama sawa na bure!
NANI ANAWEZA kutumia na kunufaika na BITCOIN ??
Mimi na Wewe kwa kujifunza namna zinavyofanya kazi kuepuka utapeli na kutumia asset izi katika kuwekeza na kutrade mtu mmoja mmoja anaweza kubadili maisha yake.
Kwa kujifunza namna zinavyofanya kazi, risk zake na kutengeneza mifumo au system zinazosaidia mabadilishano ya fedha
(Eg:kutoka TZS TO BITCOIN OR DOLA TO BITCOIN).
Pasipo vizuizi na kuweza kupata kodi kupitia miamala ya system hiyo. maana hata watu wa nje ya nchi wanaweza tumia system hiyo na kuchangia pato la taifa.
⭐TUNAWEZA KUNUNUA NA KUZIPATA WAPI CRYPTO CURRENCY?
1.MARKET PLACE
mfano. remitano, Local bitcoin
2.WALLETS.
mfano. trust wallet, Metamask
3.EXCHANGE.
mfano. binance. Indodax, bybit Kraken .etc
Vile vile tunaweza nunua kwa watu mbalimbali (lakini hakikisha unamuamini mtu huyo) yaani ukimtumia pesa atakutumia crypto husika kwenye wallet yako..hapa tuwe makini kuna matapeli k**a nilivyosema hapo awali !
P2P platforms ( person to person platforms)
Hizi ni platform ambazo unakutana na watu wanauza waliokuwa verified kabisa na wameweka bei zao unachagua mwenyewe kwenye hizi platform na huwezi kuibiwa,Zina usalama mkubwa sana
👉Local BITCOIN (hutumika zaidi) 👉REMITANO
👉Binance P2P .
Compliments on the seasons!!!
NOTE :Uwe huru kwa swali lolote kuhusiana na hayo yooote hapo juu!!
Please Dm 📩📩📩the Analyst
+255718509907.
[email protected]
Have a wonderful time.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Iringa
CODE1032,IRINGA.