gari_kiganjani

gari_kiganjani

Share

11/04/2023

Ladha ya kwanza ya Gari lako ni Injini kufanya kazi kwa ufanisi kutokana na kusudi la muundaji wa gari alivokusudia.

Zifuatazo ni sababu zinazopelekea gari lako kukosa nguvu.

1.Kasoro ya uchomaji ndani ya chumba Cha muako ndani ya Injini
Mfano sparkplug mbovu/Sparkplug ikilowa oil au mafuta, baadhi ya coil kualibika.

2.Mfumo wa hewa wenye kasoro
Mfano airclean (chujiolahewa) likiwa chafu,
Vavle ikiziba ndani ya cylinder head

3.Mfumo wa mafuta wenye Kasoro
Mfano
Pampu ikiziba,fuel filter ikiziba

3.Changamoto ya mfumo wa transmission
Mfano
Toque convert ikivujisha hydrolic, toque convert ikialibika,gia box ikiwa mbovu.
Kwa msaada zaidi kwa changamoto mbalimbali wasiliana nasi kwa Namba hii 0743448501

MAGARI, KUUZA NA KUNUNUA MAgari SoKoni MAGARI USED MAGARI SHOWROOM MAGARI SOKONI USED CAR MAGARI BEI RAHISI TANZANIA MAGARI USED and NEW kwa bei nafuu sana hapa MAGARI SOKONI (SHOWROOMS) Magari bei nafuu Magari ya bei nafuu MAGARI&PIKIPIKI SOKONI TANZANIA 🇹🇿 Magari Sokoni Online Leo🔮 Magari Specialists MAGARI MTAANI MAGARI MAZURI DSM MAGARI MAKALI BEIPOA Magari Online Kenya Magari Sokoni na Godwin magari used online 🚚🚜🚐🛻🚗 magari ya bei rahisi(mr_magari_tanzania Instagram follow us) MAGARI USED TANZANIA magari used MAGARI SOKONI Magari Used Bei rais ��� MAGARI POA SANA. Magari Arusha

19/07/2020

YouTube tunapatikana kwa jina GARI KIGANJANI..video yake link hii
https://youtu.be/43SBLwcG6T4

Gari lako ni chombo kilichosanifiwa mithili ya uharilisia wa mwili wa mwanadamu hivyo asilimia kubwa ya utendaji wa wa gari ni. Sawa na mwanadamu
Yafuatazo ni madhara ya kuendesha gari wakati ujazo wa injini oil upo PUNGUFU
1- Vyuma vinasuguana ndani ya injini
2-Mabadiliko ya Joto la injini mara kwa mara
3-oil pump kuwa kuaribika
4-injini yako ndani inakuwa chafu
Akikisha unaendesha gari lako likiwa na UJAZO sawa na unaotakiwa

Kwa maswali mbalimbali karibuni katika group letu la WhatsApp ujipatie ufafanuzi mzuri zaidi kwa haraka zaidi
https://chat.whatsapp.com/FkuU2ke6rO34wWNlIKJ0Rr
Kwa video mbalimbali karibuni katika platform zetu za YouTube kuna video nyingi zenye mafunzo mbalimbali

Want your school to be the top-listed School/college in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Ipogoro
Iringa